Harusi vitukooooooo

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
MC katika kumpamba Bi harusi akasema,
"Sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi, tangu mi nimfaham huwa havai nguo za ndani. "Watu wakaduwaa. Sura ya bwana harusi ikakosa ushirikiano. Akasema "Narudia kwa msisitizo na sijakosea, bi harusi huyu havai kabisa nguo za ndani" Watu wote mmmm?!? Siongei kwa kubahatisha hakika sijawahi kukutana naye akiwa amevaa nguo za ndani. Watu wote nyuso chini. Akaendelea na kusema yeye huvaa nguo za kutoka nje tu Italy, England na USA, hebu mshangilieniii!!! waalikwa, wazazi maharusi wote hoi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ilibaki sekunde mbili tu bwana harusi auwe mtu, ndo maana tunaambiwa tusihukumu haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…