Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Nimeolewa ndio
Sina swali lingine mheshimiwa!
Nimeolewa ndio
Ndio, aliyepanic ni mke, kisa mume anachat kwa ukaribu kuhusu kuonana na maid
Huwo ulimbukeni tu mimi nilisimamia harusi na mke wa mtu lkn hakuna lolote kati yetu"....Wengi wanaosimamia harusi pamoja ambao si mke na mume huishia kwenye mahusiano yasiyo rasmi...."
Mc Pilipili
Na wew mleta mada inaonekana kilaza sasa hizi ndy habar za kuleta humu haaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()