Wazima wadau.
Nimepigiwa simu jana na rafiki yangu analalamika kuhusu mume wake, labda kwa pamoja twaweza kumpa ushauri.
Mumewe alisimamia harusi jumamosi iliyopita ya rafiki yake, alikuwa kama maid, kulikuwa na maids wa kike pia. baada ya harusi katika pekenyua pekenyua yake ( si unajua wanawake nasi kwa kupekenyua simu tena), akakutana na msg mumewe anachat na yule maid waliopangwa wote, maongezi ya kuulizana siku ilikuwaje na nini sikukuu vipi na vitu kama hivyo.. bishosti kapanick anataka alianzishe kwa mume, nimemwambia atulizane asome mchezo utaendeleaje asiwe na papara labda ni maongezi ya kirafiki tu. nyie mnamshaurije