Harusi kwa mjamzito ni sawa?

Harusi kwa mjamzito ni sawa?

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
335
Reaction score
297
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanawake kuolewa na kufanya harusi wakiwa ni wajawazito.

Maoni yenu ni nini juu ya wanao oana wakati mwanamke akiwa mjamzito?

Je, maandiko ya Mungu yasemaje juu ya hili?
 
Kwa miaka hii Usijaribu kununua Mbuzi aliyefungwa ndani ya Sandalusi... Utaumia
 
Sio suala la dini dini zote zinakataza uzinifu hakuna ndoa hapo
 
mbona wewe unazini hili ndo umeona la ajab? Akiwa mjamzito ndo furaha kwa bwana haruc
 
Do not do it, my heart told me. S o i had to wait first, and now the baby is out am planning to do wedding without any pressure.
 
Inavyoonyesha haina tatizo maana Mchungaji au Shehe analiona tumbo kubwa na bado anafungisha ndoa,inakubalika kwani nimewahi kuhudhuria harusi ya mfanyakazi mwenzangu mwanamke na mlokole akiwa mjamzito wa miezi kama 6 hivi.
 
kuna sala ya toba unasalishwa ndio mnabariki ndoa sio kufunga ndoa tena
 
Sio suala la dini dini zote zinakataza uzinifu hakuna ndoa hapo


kwanini mwizi akiwa anaiba kisha akatubu na akitaka kununua alichokua anaiba mwanzo hairuhusiwi? tena huyo MTU kafanya vizuri ili kosa lisiendelee kutendeka
 
1. Maandiko yanakataza. 2. Maoni yangu; mwenye kuoa mjamzito ni mwaminifu kwa mwenza wake na pia ana hakika ya kuoa binti asiye na tamaa vinginevyo angetumia kinga au kutoa mimba kama wafanyavyo wasichana wengi.
 
Back
Top Bottom