Harusi kwa mjamzito ni sawa?

Harusi kwa mjamzito ni sawa?

Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanawake kuolewa na kufanya harusi wakiwa ni wajawazito.

Maoni yenu ni nini juu ya wanao oana wakati mwanamke akiwa mjamzito?

Je, maandiko ya Mungu yasemaje juu ya hili?

Watu wana-test zari mapema mkuu...
Hakuna anayetaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Ki-Islam Ndoa hizo sina hakika kama zinafanyika
na kama mtajifanya pengine wahusika wanaficha ni makosa.

Ila, -Hakika iso' -na shaka ni kuwa kiumbe atakae zaliwa (Mtoto)
Atakuwa ni mtoto-HARAM.
 
Sio sawa ingawa ndio fashion ya sikuhizi.... Shake well before use
 
Back
Top Bottom