Basi poa tu, mteja na mmiliki wa ukumbi mnalipana 2,500,000/= lakini mnakubaliana muidanganye serikali kuwa ukumbi ni sh. 500,000/=, so hakuna kodi hapo3. Sherehe yoyote itakayofanyika kwenye ukumbi usiozidi sh. 700,000/= hakuna kodi.
Kodi:
(a) 18% = 3,600,000/= au ukijitahidi kudanganya kuhusu bajeti, unaenda kwenye (b)
(b) 100% ya Hall = 2,500,000/= au ukijifunza kuacha makuu, utafuta ukumbi wa 1,500,000/=, unahamia (c)
(c) 100% ya Hall = 1,500,000/=
Teh tehe, serkali haijatoka kapa
Magufuri usipokaa ukaandaa mkakati wa kutumia rasimali za nchi kama madini, gas, utalii, ardhi kwa kilomo na ufugaji, uvuvi na miundo mbinu km bandari utapiga sana kelele na walipa kodi, nchii hii inawananchi maskini ambao ata watoe mali zao zote huwezi kuendesha nchi. Cha msingi ebu jitafakari mapema jinsi ya kutumia rasilimali mhimu tajwa hapo juu.

Umeongea point hii nchi bado inafursa nyingi tuu sijui niseme hazionekani au hazitumiki? Kwa Tanzania hatujafikia kukusanya kodi kwenye michango ya harusi ni aibu, mwisho itahamia kwenye misiba sasaMagufuri usipokaa ukaandaa mkakati wa kutumia rasimali za nchi kama madini, gas, utalii, ardhi kwa kilomo na ufugaji, uvuvi na miundo mbinu km bandari utapiga sana kelele na walipa kodi, nchii hii inawananchi maskini ambao ata watoe mali zao zote huwezi kuendesha nchi. Cha msingi ebu jitafakari mapema jinsi ya kutumia rasilimali mhimu tajwa hapo juu.
Chaputa sio!!!?haaa haaa nilijua tu Mkuu MO11 lazima uongezee sabab zako zileeee za kuendelea kubaki kwenye hiki CHAMA chetu cha Kudumu cha wasiooa
chapuuutu ndo nn tena bosiiChaputa sio!!!?
Usijitoe ufahamu muulize niliyemnukuu!chapuuutu ndo nn tena bosii
uliquote wap io Chaputa?Usijitoe ufahamu muulize niliyemnukuu!
nafunga ndoa yangu ya kiislam ndan na mashahid wasiofika watano ukijumlisha na familia mbili jumla watu kumi alafu tunapeana masharti "nyie msipige vigelele watajua"