Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 30, 2016 #1 Waliotegemea pilau hali ilikuwa tofauti.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,559 Reaction score 12,275 Dec 30, 2016 #2 Ezali na Nzambe motema sousou
elineema William JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 576 Reaction score 288 Dec 30, 2016 #3 Huu ni ubahili wa kiwangoo cha juuu sio kwa maembe hya .....na zawad sjui watu watatoa toothpick
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,452 Reaction score 100,762 Dec 30, 2016 #4 Mgosi Msambaa mkweli Zumbe kimweri zumbemkuu zumbe jr Chakaza na wengineo kuna mtu analeta majungu huku, anahitaji zongo la bonde kwa Kaka MANI
Mgosi Msambaa mkweli Zumbe kimweri zumbemkuu zumbe jr Chakaza na wengineo kuna mtu analeta majungu huku, anahitaji zongo la bonde kwa Kaka MANI
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Dec 30, 2016 #5 Amekosea... hiyo ilikuwa desert baada ya mlo wa nguvu!!...
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 31, 2016 Thread starter #6 Kingsharon92 said: Ezali na Nzambe motema sousou Click to expand... [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 31, 2016 Thread starter #7 elineema William said: Huu ni ubahili wa kiwangoo cha juuu sio kwa maembe hya .....na zawad sjui watu watatoa toothpick Click to expand... Vijijini mara nyingi watu hupata chakula kulingana na msimu uliopo.
elineema William said: Huu ni ubahili wa kiwangoo cha juuu sio kwa maembe hya .....na zawad sjui watu watatoa toothpick Click to expand... Vijijini mara nyingi watu hupata chakula kulingana na msimu uliopo.
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 31, 2016 Thread starter #8 Elli said: Mgosi Msambaa mkweli Zumbe kimweri zumbemkuu zumbe jr Chakaza na wengineo kuna mtu analeta majungu huku, anahitaji zongo la bonde kwa Kaka MANI Click to expand... Vijijini ni mambo ya kawaida tu.....miaka hiyo ilikuwa ukienda zigua kwenye shughuli unakaribishwa kwa uji na fenesi, lakini huenda sasa mambo yamebadilika.
Elli said: Mgosi Msambaa mkweli Zumbe kimweri zumbemkuu zumbe jr Chakaza na wengineo kuna mtu analeta majungu huku, anahitaji zongo la bonde kwa Kaka MANI Click to expand... Vijijini ni mambo ya kawaida tu.....miaka hiyo ilikuwa ukienda zigua kwenye shughuli unakaribishwa kwa uji na fenesi, lakini huenda sasa mambo yamebadilika.
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 31, 2016 Thread starter #9 SupuyaPweza said: Amekosea... hiyo ilikuwa desert baada ya mlo wa nguvu!!... Click to expand... Hilo linawezekana pia.
SupuyaPweza said: Amekosea... hiyo ilikuwa desert baada ya mlo wa nguvu!!... Click to expand... Hilo linawezekana pia.
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Sep 18, 2020 #10 [emoji41][emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app