Haruna Niyonzima asajiliwa tena Yanga

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Haruna Niyonzima amerejea rasmi Yanga SC akitokea AS Kigali ya nchini Kwao Rwanda, Haruna amecheza soka Tanzania kwa miaka nane mfululizo (2011-2019) na sasa anarejea tena rasmi.
.....................
Kwakweli Huyu jamaa soka la Tanzania limependa na yeye anapenda Tanzania. Duuh
 
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama watu wa Bunju mmemaindi hivi Haruna kurudi kwao? Kwenu ni kwenu ndugu hata kama kuna shida! Mwacheni Fundi awatumikie wananchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nae inaonekana kwao ni shida tupu Yanga ilimtema Simba ikamwokota mayo ikamtema,leo karudi huku anajua kuna wachezaji wanakimbia mishahara hawajalipwa,Kocha zahera anadai yeye nae anajichomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mpira wa Tanzania bana ,huwa akirudi Okwi hana njaa ,utasikia anarudi kwao ,ila huyu ana njaa

MTC | 101|
 
Back
Top Bottom