Haruna Moshi 'Boban' hajakua bado

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,043
10,692
Kufuatia mlolongo wa matukia ya mwanandinga Haruna Moshi Boban kukataa kuichezea timu ya taifa U-23, dhidi ya Ushelisheli hivi karibuni kule Arusha imenikumbusha rekodi yake mbovu ya nidhamu.Si kule Simba tu toka nyakati hizo ila pia aliwahi kuingia na kopo la bia U/Taifa,kukacha mazoezi na hivi majuzi baada ya fainali ya Kagame Cup chap chap alibadili nguo akavaa jeans na T shirt na open shoes, baada ya kukabidhiwa medali akaivua pale pale mbele ya mgeni rasmi.Hii pia imenikubusha ni kwa nini Maximo aliwahi kusema hana nidhamu hata kidogo na humpiga chini jumla kuichazea Stars.

Bora wewe umesema,kijana huyu ana malezi mabaya yaliopelekea kuwa na tabia chafu haya haya ndio maana Maximo walimchukia alipomuadabisha yeye na Kaseja

Kufuatia mlolongo wa matukia ya mwanandinga Haruna Moshi Boban kukataa kuichezea timu ya taifa U-23, dhidi ya Ushelisheli hivi karibuni kule Arusha imenikumbusha rekodi yake mbovu ya nidhamu.Si kule Simba tu toka nyakati hizo ila pia aliwahi kuingia na kopo la bia U/Taifa,kukacha mazoezi na hivi majuzi baada ya fainali ya Kagame Cup chap chap alibadili nguo akavaa jeans na T shirt na open shoes, baada ya kukabidhiwa medali akaivua pale pale mbele ya mgeni rasmi.Hii pia imenikubusha ni kwa nini Maximo aliwahi kusema hana nidhamu hata kidogo na humpiga chini jumla kuichazea Stars.
Hivi diof wa senegal na Boban nani hana ni dhamu kuna wachezaji wenye nidhamu 0 lakini wana tumikia mataifa yao tatizo kwetu hatuna watu wa kushugulika na watu kama Boban....mwangalie Balloteli,Gaza nk....

Juzijuzi nilikuwa naongea na jamaa anayemfahamu Boban kwa karibu nikataka kujua ana matatizo gani hasa. Jibu alilonipa jamaa liliniacha hoi. Alisema: "Boban akili yake anaijua mwenyewe tu." Aliniambia huyu kijana ni mtu asiyejali chochote, ndio maana hata akifunga goli muhimu kwenye mechi huwa hashangilii, anaona ni jambo la kawaida tu. Huyu hajali kama anachezea timu ya Taifa au la, ndio maana hakuitikia wito wa kocha Paulsen. Kama alikataa kuendelea kucheza soka Ulaya unadhani ataona manufaa yoyote kuchezea timu ya Taifa? Ni kijana wa ajabu sana huyu.

kaseja aliadabishwa kwa kosa lipi labda mwenzetu unajua...

wakiwa misri na starz ilipokuwa inaporomoshewa mvua ya magoli kuptia ivo mapunda, kaseja alionekana kucheka (kufurahia kpgo hko) ktendo ambacho kwa hali ya kawaida sio jambo zuri na linavunja umoja wa timu. Hakika Kaseja alfanya kosa kubwa sana.

Sikumbuki kama ilikuwa Misri au Benin,ila kaseja alishangilia wakati Ivo Mapunda akifungwa goal,ndio tatizo la wachezaji wetu.selfish sana

Hivi diof wa senegal na Boban nani hana ni dhamu kuna wachezaji wenye nidhamu 0 lakini wana tumikia mataifa yao tatizo kwetu hatuna watu wa kushugulika na watu kama Boban....mwangalie Balloteli,Gaza nk....
Vijana kama haruna ni kupigwa benchi akaendelee na bangi zake na wahuni wezanke.Unauliza mambo ya Diof? au Balloteli ambae kama akiendela hivi hatafka popote

Jamani ehee hivi lakini huyu Haruna Moshi Boban ana miaka chini ya 23 kweli? kama kweli ana miaka chini ya 23 na amekataa kuchezea U23 team basi anastahili adhabu kali kweli kweli
lakini kama umri umezidi miaka 23 alafu expart kocha anamshawishi ku foji umri ili acheze U23 team basi kocha huyu pamoja na benchi lake lotee la ufundi wanapaswaa kufukuzwaa kwa kuchapwaa bakoraa au mikia taaa isiyopungua 800 hivi kwa maaana likibumbulukaa ni nchi ndio itakayo aibikaa nani anakumbuka sakata la david mwatobe wa serengeti boys?

Hivi mnaojadili Boban mnamfahamu kweli? Hata anavyoweza kucheza mpira uwanjani ni moja ya miujiza michache hapa duniani. Kifupi huyu kijana anapatikana sana mitaa sinza Kijiweni hebu tembelea maeneo karibu na nyumbani kwa Lyatonga Mrema utamuona huyu kijana akiwa anavuta au amevuta bangi hutaamini ndio anayesemwa kila siku.

Huyu kijana nafikiri kaingiliwa na mapepo angekuwa na washauri wazuri wangempeleka akaombewe sio bure mambo mengine ni magumu sana kwa akili za wanadamu, isipokuwa Mungu tu kuingilia kati

Ni jambo la kushangaza sana..

pamoja na bangi zake lakini tunajua ni kwa nini alikataa kujiunga na hiyo team ya U23? tusije kumhukumu kw vile ni mvuta bange bila ya kujua undani wa kukataa kwake?

wakiwa misri na starz ilipokuwa inaporomoshewa mvua ya magoli kuptia ivo mapunda, kaseja alionekana kucheka (kufurahia kpgo hko) ktendo ambacho kwa hali ya kawaida sio jambo zuri na linavunja umoja wa timu. Hakika Kaseja alfanya kosa kubwa sana.
Kumbukumbu zako naona haziko vizuri, nadhani unataka kuzungumzia mechi ya kule senegal tulipofungwa goli 4 kama sikosei kaseja akiwa benchi na siyo misri hata hivyo kaseja alikanusha kufanya kosa hilo na maximo hakuweka bayana mpaka anaondoka mpaka wengi tunadhaani labda walichukuliana mademu kwasababu kaseja kwani dhamu yuko vizuri...

huyu jamaa umri wake ni mkubwa sana inawezekana ni above thirty ndio maana amekataa kwa kuona aibu. hata huko kwao tabora wangemshangaa sana km angekubali. nasikia ameanza kuvuta tumbaku toka miaka ya tisini mwishoni thats why anajichanganya!!!!!!!!!! wana jf huko tabora mnaomfahamu tupeni cv yake toka primary hadi sekondari,nasikia aliwahi kushiriki umisseta kabla ya kufutwa na mungai kipindi hicho... so sio rahisi akawa ni U-23.

siyo kwamba alichukuliwa kama mchezaji wa chini ya miaka 23 hapa lengo la kocha ilikuwa kumuona kiwango chake kabla haja chagua timu ya taifa na kwakuwa zile mechi zilikuwa za kirafiki angeweza kucheza bila shida yoyote kama alivyofanya machaku, Kijiko lakini kwa mwaikimba na boban waligoma kujiunga na sababu bado hazijajulikana ila kocha wa taifa stars ameomba kukutana na boban ili ajue sababu za mwanandinga huyo kuto kujiunga na timu ya watoto...

Back
Top Bottom