Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Jan 13, 2017 #41 Na kuna huyu mwingine wa nchi jirani okwi nae nidhamu inamrudisha nyuma maana kwa kipaji chake hakua mtu wa kucheza africa kipindi chote hicho
Na kuna huyu mwingine wa nchi jirani okwi nae nidhamu inamrudisha nyuma maana kwa kipaji chake hakua mtu wa kucheza africa kipindi chote hicho
Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Jan 13, 2017 #42 Wadau vipi kuhusu salum telela????
be unique JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,381 Reaction score 2,293 Jan 13, 2017 #43 Anapo elekea anakua mteja.
Tyrex JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,448 Reaction score 5,336 Jan 13, 2017 #44 Huyo jamaa boban si alikataa mshahara wake ukatwe Na uende kwa wakala
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,228 Reaction score 15,631 Jan 13, 2017 #45 Ilikuwa dhahabu iliyokolea vumbi!..
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 12,111 Reaction score 22,497 Jan 13, 2017 #46 Pung'o boy said: Yani hapa navyosoma wadau mnavyojaribu kuelezea sifa za huyu fundi hadi yanataka kutokaa.. Yani huyuu mtu touchez zake nataka kuzifananaisha na kina iniesta, ila alikosa nidhamu kama aliyo nayo samatta Click to expand... Labda iniesta wa bunju
Pung'o boy said: Yani hapa navyosoma wadau mnavyojaribu kuelezea sifa za huyu fundi hadi yanataka kutokaa.. Yani huyuu mtu touchez zake nataka kuzifananaisha na kina iniesta, ila alikosa nidhamu kama aliyo nayo samatta Click to expand... Labda iniesta wa bunju
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,114 Jan 14, 2017 #47 Pung'o boy said: Wadau vipi kuhusu salum telela???? Click to expand... Mbingu na ardhi.. Japo nilikua navutiwa na tabia zake
Pung'o boy said: Wadau vipi kuhusu salum telela???? Click to expand... Mbingu na ardhi.. Japo nilikua navutiwa na tabia zake
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,271 Jan 14, 2017 #48 Kati ya wachezaji wa simba nilio wahi kuwapenda ni boniface pawasa,haruna moshi