I can't describe it kwa undani zaidi, ila ndiyo ivo sasa
Harufu ya kiume ndo ikoje tena hiyo?
Wengiwao wanayo, tena ukijumlisha na marashi kwa mbaliii.... ahaaa
....natural smell kama ya beberu haina mchanganyiko na perfume lol! Umeusaha ule uzi wa watu ambao hawaogi ili harufu za wenzao wake kwa waume ziwaongezee excitement?
Ukimaanisha?