Harufu ya jasho na ujauzito

Sallass

Member
Dec 28, 2013
73
0
habar zenu wana jf, mke wangu ni mjamzito wa miezi miwili ila kinachonishangaza juu ya ujauzto wake ni kua, anapenda sana harufu ya mwili wangu na jasho lake, hivo huninusa nusa mfano wa mbwa anavonusa kitu, upo wakati huweka pua yake kwnye kwapa yangu na kuninusa kisha huniramba kwapa langu, yeye anasema anasikia nzuur harufu yangu, sasa jee hali hii inatokeaga mwanamke akiwa mjamzto au ni tatizo? Naomba kuwasilisha
 
junie eve

New Member
Sep 28, 2013
4
20
Inatokea usishangae..mimba huwa zina vioja sana kwa mfano mm apa ni mjamzito ila sipendi harufu ya jasho na hata baadhi ya marashi..so hyo inawezekana ndo raha yake
 
MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,108
2,000
habar zenu wana jf, mke wangu ni mjamzito wa miezi miwili ila kinachonishangaza juu ya ujauzto wake ni kua, anapenda sana harufu ya mwili wangu na jasho lake, hivo huninusa nusa mfano wa mbwa anavonusa kitu, upo wakati huweka pua yake kwnye kwapa yangu na kuninusa kisha huniramba kwapa langu, yeye anasema anasikia nzuur harufu yangu, sasa jee hali hii inatokeaga mwanamke akiwa mjamzto au ni tatizo? Naomba kuwasilisha
Mkuu Shukuru sana mimba imekupenda , hilo ni jambo jema sana, kwani kuna wengine mimba huwa zina wakataa mbaya ...mpaka mtu unakua unakula peke yako, kulala sebuleni, kuoga uwanjani.
 
Last edited by a moderator:

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,077
1,225
asee shukuru mungu pia mana mimba ingemfanya akuchukie sjui ungekuaje hayo ni mabadiliko na ni hiyo mimba ndo inamchanganya mimba zina vioja sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom