Yale yale wa mwanaume yuko nje analima mkewe yuko ndani anapika mara mlio wa risasi unasikika kwa nje then mwanaume anakimbia ndani na anafunga mlango halafu anamuuliza mkwewe
"Nani kafyatua Risasi?"
Yaani mie mwenyewe choka kabisa, hasa sie tunuseje hiyo harufu ya ndani ya basi? Au unaulizia harufu za ndani ya basi huwa zinatokea wapi?
Muulize konda.
Muulize konda.
Next time jaribu kubadilisha usafiri utumie ndege nafikiri itakua better zaidi kwako
Next time tumia usafiri wa treni.
yaani wewe unashindwa kuuliza ulio nao kwenye hilo basi unatuuliza sisi!!kwani hujui kuwa hujafua soksi!!!Habari za asubuhi wadau
nipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar..
Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.
Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
Kulikuwepo na Fuko mmoja yuko langoni mwa shimo wakati Fuko mwingine yuko chini shimoni.........mara Fuko aliyeko langoni akasikia vishindo vinakaribia eneo karibu na lango la shimo......akakimbilia ndani kumfuata Fuko aliyeko chini kumuuliza huko/kule juu kuna vishindo ni vya akina nani!.............
Unapanda bus la bei chee na utegemee linukie.
Mzee wa harufu,umefika jijini salama?