Harrison Mwakyembe afanya siasa za udini kanisani Mbeya

Wanakyela hawataki kabisa kumsikia na walishamkataa zaidi 2015 ila nguvu kubwa sn ya polisi na jeshi ilitumika walilazimisha mchanankweupe kabisa km alivofanya S.H Amon wa Rungwe magharibi
 
mi nimesema sana nchi hii ina udini na tunahitaji kuukomesha kuna wapumbavu wamenipinga sana! angalia kuna waislam wangapi walioteuliwa juzikati? na huu wa Makyembe ni ushahidi mwingine tosha!
Awamu hii ndiyo imezidi Kwa udini
 
Kweli wewe ni kichwa bogas,hivi umeona ni sahii kabisa kufanya vikao vya chama kanisani tena wametandika na mashuka yao ya mboga mboga,ila mnakera nyie .
Nimesoma andiko la kaka yangu malisa kwa makini sana nione msingi wa tuhuma zake kwa mwakyembe nikaishia kuona porojo za kisiasa tu...malisa wewe ni mkristo,tuambie ni andiko gani linaloharamisha siasa kufanyikia mahala pa kukutania ambapo wewe umepaita 'kanisa' ingawa kanisa ni kitu kingine kabisa?...yesu mwalimu wetu mkuu alifanya siasa popote na kama hujui yesu kristo alikuja na agenda moja tu 'kuusimika ufalme(serikali) wa MUNGU Duniani na alitumia eneo lolote kuwakosoa watawala,makuhani,wandishi n.k (that was politics)..sasa kaka yangu unapolialia mtoto wa kiume tena ukijaribu kumshambulia mwakyembe kana kwamba kafanya dhambi tena unajaribu kutumia kisa cha yesu hekaluni kupindua meza ambapo unapaswa uketishwe chini upewe darasa kuhusu nini yesu alikataa pale hekaluni unlike wewe unayeunganisha two unlike things..
 
Mfumo kristo eventually sasa hauoni aibu unaanza kujionyesha waziwazi bila hofu
Na Prof. Lipumba kumuombea kura Mh. J. K. Ilikuwa mfumo nini?

Ilitosha kumhukumu mtu kwa matendo yake, kuanza kuingiza ujinga kama huu unaharibu point yote ya post yako!
 
Una laana wewe sio bure ndiyo maana unajiita MJINGA au kichwaboga
 
Jina lako linasadifu yaliyomo
 
Acheni kulialia Kama vijitoto vya kike nyie misukule ya Cha Domo [emoji23]
 
CCM MAHMUMU, CHALIII KIFO CHA MENDEEEE;

Ameandika Malisa J.

Tunapotafuta madaraka ya kisiasa tunatumia mbinu mbalimbali, lakini ni muhimu kutumia mbinu ambazo hazitaharibu mahusoano yetu na Mungu wala hazitadhalilisha imani ya wengine.

Mzee wangu Harrison Mwakyembe hiki unachokifanya Kyela kutumia makanisa kama "platform" ya kufanya vikao vya chama chako si sahihi hata kidogo. Sikemei kwa kuwa wewe ni CCM, hasha! Hata Mbowe angefanya hivi ningekemea pia. Tena kwa nguvu kubwa zaidi.

Mimi kama Mkristo nimefundishwa kuheshimu hekalu la BWANA. Hata Yesu alipokuta watu wanafanya biashara hekaluni alipindua meza zao na kumwaga bidhaa zao chini. Akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi (Mathayo 21:13).
_
Sasa wewe umegeuza kanisa kuwa kijiwe cha siasa. Hadi eneo la madhabahu umegeuza "high table" ya viongozi kukaa na kuzungumza na wanachama wenu? Vitambaa vya kupamba madhabahu vimeondolewa na kuwekwa vitambaa vya chama chako. Mzee wangu umelinajisi kanisa. Mbaya zaidi wewe ni Mkristo tena uliyeokoka. Tukueleweje?

Kuna maeneo mengi hapo Kyela mngeweza kukutana na kupanga mipango yenu si lazima kuipangia kanisani. Mngeweza kukodi ukumbi au mkatumia kumbi za mashuleni (sekondari na vyuo) ambazo mngeweza kuziomba na kupanga mipango yenu badala ya njia hii ya kulinajisi kanisa. Tafadhali tubu, na tafuta njia nyingine ya kukutana na watu wako. Usilazimishe hasira ya Mungu ikawaka juu yako.!

As written by Malisa J.View attachment 1497357
Mbona hushangai askofu Gwajima kugombea ubunge?
 
Mm mkristo isipokuwa hili siliungi mkono. Huku ni kuigawa nchi. Hapana this is too wrong. Kwa sabsbu hata waislamu wakifanya hivi tutaona wanakosea. Taifa letu ni muhimu sana kuliko ubaguzi wa hawa wakina Mwakyembe.
 
Kwenye swala la UDINI afadhali wa CCM kuliko wa CHADEMA! Kama hakuna chama kingine kinachoweza kushika madaraka basi afadhali CCM waendelee! Wafuasi wa CHADEMA ni wadini kupindukia!!
 
Na Prof. Lipumba kumuombea kura Mh. J. K. Ilikuwa mfumo nini?

Ilitosha kumhukumu mtu kwa matendo yake, kuanza kuingiza ujinga kama huu unaharibu point yote ya post yako!
tupe ushaidi unaonyesha lipumba akimuombea kura jk na itakuwa vizur utuambie alimuombea msikiti gan
 
Nimesoma andiko la kaka yangu malisa kwa makini sana nione msingi wa tuhuma zake kwa mwakyembe nikaishia kuona porojo za kisiasa tu...malisa wewe ni mkristo,tuambie ni andiko gani linaloharamisha siasa kufanyikia mahala pa kukutania ambapo wewe umepaita 'kanisa' ingawa kanisa ni kitu kingine kabisa?...yesu mwalimu wetu mkuu alifanya siasa popote na kama hujui yesu kristo alikuja na agenda moja tu 'kuusimika ufalme(serikali) wa MUNGU Duniani na alitumia eneo lolote kuwakosoa watawala,makuhani,wandishi n.k (that was politics)..sasa kaka yangu unapolialia mtoto wa kiume tena ukijaribu kumshambulia mwakyembe kana kwamba kafanya dhambi tena unajaribu kutumia kisa cha yesu hekaluni kupindua meza ambapo unapaswa uketishwe chini upewe darasa kuhusu nini yesu alikataa pale hekaluni unlike wewe unayeunganisha two unlike things..
Wapumbavu kama wewe huwa hamkosekani. Kila mahali mpo
 
Wewe ni mPUUZI simnayo mapagale yenu huko ccm kwanini msikutane badala yake mwende Kanisani
 
tupe ushaidi unaonyesha lipumba akimuombea kura jk na itakuwa vizur utuambie alimuombea msikiti gan
Msikiti wa idrissa. Sikiliza kwa makini utaelewa kama una akili ya kuelewa.

Nimesoma andiko la kaka yangu malisa kwa makini sana nione msingi wa tuhuma zake kwa mwakyembe nikaishia kuona porojo za kisiasa tu...malisa wewe ni mkristo,tuambie ni andiko gani linaloharamisha siasa kufanyikia mahala pa kukutania ambapo wewe umepaita 'kanisa' ingawa kanisa ni kitu kingine kabisa?...yesu mwalimu wetu mkuu alifanya siasa popote na kama hujui yesu kristo alikuja na agenda moja tu 'kuusimika ufalme(serikali) wa MUNGU Duniani na alitumia eneo lolote kuwakosoa watawala,makuhani,wandishi n.k (that was politics)..sasa kaka yangu unapolialia mtoto wa kiume tena ukijaribu kumshambulia mwakyembe kana kwamba kafanya dhambi tena unajaribu kutumia kisa cha yesu hekaluni kupindua meza ambapo unapaswa uketishwe chini upewe darasa kuhusu nini yesu alikataa pale hekaluni unlike wewe unayeunganisha two unlike things..

Wewe Harrison Mwakyembe safari hii wizi wa kura hautakusaidia; ungekuwa na akili ungerudi jalalani kwani chances zako kurudi mjengoni ni almost zero. JPM hana haja na watu kama wewe tena nadhani atafurahi kama utatoswa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom