Harrier vs forester subaru

Kwanza siamini hiyo consumption rate yako, pili sijasema atumie ist wala gari yoyote ya cc chini ya 1500. Kama unaelewa ni kuwa nafananisha na gari ya cc 2000 hapa
=====
kuamini ni hiari mimi natumia huo usafiri. Nikijaza full tank Dar nadrive hadi mtwara bila kuongeza . full tank ni 70L. Mtwara from Dar ni kama 670. But hapo naongelea kujaza ubungo napambana na foleni mpaka mbagala. CC1500 ni gari ya chini sana ....unajua ukitumia kitu ghali kinakusaidia ubongo kutafuta pesa...
Msipende kuogopa mafuta.
 
Yes. Hata kama umetoka safari ndefu, ukiacha iendelee kupumua, baada ya kupumua huwezi kusikia kama inaunguruma, mpaka raha. Kuna jamaa aliwahi kuingia kwenye gari, akadhani imezimwa, alikuwa anawasha.
 

Mzee hata kama ungesema mtwara ni km 700, rate ingekuwa ni Km10 kwa lita, bado haijafikia ile 11 yako ulioisema. Na kumbuka hiyo ni highway so average inashuka sana tu. Kama unaendesha highway kila siku sawa. Otherwise Subaru ya 2000cc itanipa nguvu ya kutosha tu kwa gharama nafuu.
Sijui hiyo ya cc 1500 unaitoa wapi kwa sababu mimi sijalinganisha nayo mahali popote. Na hata hivyo cc siyo kila kitu kwenye nguvu ya gari. Kuna gari cc1500 au 1800 lakini ina efficiency ya kutosha (mfano turbo).
 
Point of correction.
Dar to Mtwara 562km(soma 565km)
Na Mtwara to Masasi ni km610
 
Ukikanyaga mpaka chini engine inalipuka kama kwa saut
 
 
niajee mazee gari gan hapaa naweza kununua hizo ni choice zangu nilishawahi ku drive forester mwaza la msela bonge la chuma xoo talanta niweke wap mafuta na capability n muhim kwa watalam uwanjaa huu hapa jitupeni
SIKU NYINGINE JARIBU KUTUMIA MANENO MAZURI KATIKA UANDISHI WAKO, WACHANGIAJI WAZURI WAPO ILA LUGHA ULIYOTUMIA NI YAKIHUNI. NB- KUTOKANA NA USHAURI ULIOTOLEWA NA BAADHI YA WANA JF (SUBARU forester imepita) haya nenda kanunue.
 
Ndugu Harrier new model unayozungumzia ni ipi? Maana nayoijua mie sio chini ya Milioni 95, Huyu mtu anataka subaru au harrier lakini kumshauri anunue harrier new model ni kumtukana, huwezi ilinhanisha na subaru forester.
 
Hapo umeongea kweli ndugu yangu, mimi nawajua mafundi wachache sana wa Subaru hapa dar, na huwa wanajua kutambua ugonjwa wa gari hata kabla haijaanza kukupa wenye, akisema upeleke gereji usibishe
Mkuu naomba namba ya huyo fundi wa Subaru tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…