Nina miliki Subaru Forester manual transmission tangu mwaka 2010 hadi sasa.Hizi gari ni imara sana haziharibiki hovyo hovyo ila ikiharibika jiandae spear zake ziko juu sana mfano shock up yake moja ni Tsh.250,000.Na kwa sababu ni AWD mafuta inakula zaidi ya non AWD.Hazikwami kwenye michanga,tope nk.Zinakimbia sana pia.Harrier sijawahi kuitumia.Spare za Subaru haziingiliani na Toyota!Hata Rim lazima utafute ya Subaru!
Inategemea na driver nimeahindwa ku upload clip jamaa alikua na brevis alikua amemaliza sahani yaani speed 180 ikatokea Subaru ikampita kama amesimama. Subaru kwa mwendo ni habari nyingineKila mtu na mapenzi yake mm Brevis aka Benz ya Kijapan hunitoi hata kwa masafa kusafiri mbali Subaru itangoja sana
Harrier nyingi ni front wheel .. haikai kwenye mchanga wala tope
Subura ya mwaka 2008 na kuendelea ni gari hasa. Usiivunjie heshima Subaru mkuu. Ni gari classic sana na ya mwaka 2009 ni kubwa sawa na Harrier au Prado toleo jipya. Inatumia push button ya kuwasha Engine. Ni gari nzuri kutoka kwa kampuni kubwa ya Fuji Heavy Industry. Hao Toyota kwanza ni too common. Subaru ni heshima.Umewahi kuona mtu mwenye pesa zake ananunua Subaru!? Tuanzie hapo kwanza.
Wenye Subaru na Alteza wengi ni hawa hawa vijana wamepata vihela vya spea za Harrier (new model) na Rav 4 (new model) kama milion 8 hivi ndio wanaagiza Subaru.
Yani nimeshangaa kuona muanzisha uzi anafananisha gari ambazo bei zao moja ni mara karibu tano ya nyingine halafu anataka wachangiaji tumpe maoni yetu! Hatupo serious jamani
Kuna harrier sampuli tatu old model miaka ya nyuma mpaka 1999,then kati 2000 , 2002 mpaka 2009 baadaye hizi new model 2010 to date sasa mnaongelea new model ya namna ipi kama latest version msilinganishe vtu vya maana na vitu vya kijinga maana harrier new model cc 1980 ni mashine nyingine low consuption harafu full confortability na ni full umeme.....bei inaanxia mil50 nakuendele hapo ni used.Mimi pia nimeendesha Harrier ya 2006 cc 2490. Kuhusu mafuta inakunywa na kuhusu comforability inategemea upo kwenye mwendo gani. Ikiwa unaendesha speed za 100km/h + utaanza kuona kama inaelea hivi barabarani na inakuwa laini hali ambayo inakupa hamasa ya kukanyaga mafuta tu. Yani inakuwa kama ndege ya ardhini.
Ingawa niliuza Harrier yangu na sasa napush Rav4 ya 2008. Hata hivyo ninapendekeza mtu kama ana uwezo nalo Harrier new model ni gari zuri sana.
Inatumia mafuta vizr na inakuonesha jinsi unavyoyatumia na jinsi gani utumie yatumike kidogoOk but una additional details za subaru ina kitu gan cha kipekee sjawahi kuendesha harrier
Mabrevis mazito sana, mwenzangu alikuwa nayo mi na subaru non turbo cc2000Kila mtu na mapenzi yake mm Brevis aka Benz ya Kijapan hunitoi hata kwa masafa kusafiri mbali Subaru itangoja sana
Around 90 million kwa toleo la 2014 but used from japanKuna harrier sampuli tatu old model miaka ya nyuma mpaka 1999,then kati 2000 , 2002 mpaka 2009 baadaye hizi new model 2010 to date sasa mnaongelea new model ya namna ipi kama latest version msilinganishe vtu vya maana na vitu vya kijinga maana harrier new model cc 1980 ni mashine nyingine low consuption harafu full confortability na ni full umeme.....bei inaanxia mil50 nakuendele hapo ni used.
Ninayo hyo mzee nilichukua mwaka jana mwez december Djm,vipi uko vizuri nikuuzie? Nataka nionje taste nyingine nihamie kwenye bmwHichi kitu ukinunua unamuachia mjukuu
Yeah,kwenye post yangu Namba 45,nilikusudia huyu mnyama. Ni gari,harrier haiwez kuifikia hii gari,I can conclude.Hichi kitu ukinunua unamuachia mjukuu
Unauza ngapNinayo hyo mzee nilichukua mwaka jana mwez december Djm,vipi uko vizuri nikuuzie? Nataka nionje taste nyingine nihamie kwenye bmw
Iko kistaarab na imetulia sanaYeah,kwenye post yangu Namba 45,nilikusudia huyu mnyama. Ni gari,harrier haiwez kuifikia hii gari,I can conclude.
Jiongeze kidogo ununue Kluger ndilo gari naweza kuliwazia zaidi ya hayo. Kluger ni zaidi katika kila kitu. unaweza kudrive at 180kmph na ukawa confortable
===Kluger na harrier jamii moja tu
Nimeipenda hii, mpaka Dar hii itakua ngapi hii
Kuanzia milioni 28 kwenda juuNimeipenda hii, mpaka Dar hii itakua ngapi hii