Harrier new hybrid

Harrier new hybrid

Umaposema hybrid kwenye gari kwa uelewa wako huwa ina maanisha nini? Sababu nijuavyo mimi hybrid sy model ya gari, hybrid inaweza kuwa kwenye Mark ya gari yyt ile ilmradi iwe na mfumo wa mafuta na umeme unaweza kutumika kwa pamoja, gari za aina hii zinapokua ktk speed ya aina fln hujitoa ktk mfumo wa mafuta na kwenda mfumo wa umeme automatically na gari hujikuta inatumia less fuel. Kwahy niliyopost inaweza "isiwe" hybrid kama unavyon'gan'gania ila nachojua ina mfumo kama huo nilioueleza hapo juu. View attachment 853061
Mbona mnahama tropik aunt baada y'all biashara kids maana lengo lilikuwa kuuza Sada naona tropik imebadilika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza Harrier hybrid (new model) inauzwa
Namba DMR, imetembea 100k km
Haina shida ya aina yyt ile( ukinunua ni almost umenunua yard) haikatembea sana, muda mwingi hapa mjini
Cc 2300 , vvti engine
Year of manufacturer 2005
Bei ni 26.5m
Please ni pm kwa maelezo zaidi

View attachment 845517View attachment 845518View attachment 845519View attachment 845523

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii sio hybrid..unajua sifa za hybrid mkuu..hii ni harrier ya kawaida sana ukilinganisha na hybrid..kwanza hybrid chini ya mil 50 hupati ata used..
 
Gari rahisi kuuza zipo mkuu, kuna gari inaitwa probox, hii bana ukiwa nayo na unataka kuiuza inaenda fasta, haka ni kagari ka kazi, kanafaa kwa taxi, kubeba mizigo myepesi myepesi, kubeba abiria nk nenda mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa uone shughuli yake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
wajaruo wanapenda Probox kuliko uji,
 
Back
Top Bottom