Gari rahisi kuuza zipo mkuu, kuna gari inaitwa probox, hii bana ukiwa nayo na unataka kuiuza inaenda fasta, haka ni kagari ka kazi, kanafaa kwa taxi, kubeba mizigo myepesi myepesi, kubeba abiria nk nenda mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa uone shughuli yake!!Hakuna gari rahisi au ngumu kuuza mkuu....kila kitu ili uuze au kununua inategemea na hitaji la. Hicho kitu kwa muda husika. Ila thanks bro kwa offer yako, I real appreciate!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii gari sio harrier hybrid new model.Nauza Harrier hybrid (new model) inauzwa
Namba DMR, imetembea 100k km
Haina shida ya aina yyt ile( ukinunua ni almost umenunua yard) haikatembea sana, muda mwingi hapa mjini
Cc 2300 , vvti engine
Year of manufacturer 2005
Bei ni 26.5m
Please ni pm kwa maelezo zaidi
View attachment 845517View attachment 845518View attachment 845519View attachment 845523
Sent using Jamii Forums mobile app
acha masiara mzazi HYBRID INAIFAHAMU MZEENauza Harrier hybrid (new model) inauzwa
Namba DMR, imetembea 100k km
Haina shida ya aina yyt ile( ukinunua ni almost umenunua yard) haikatembea sana, muda mwingi hapa mjini
Cc 2300 , vvti engine
Year of manufacturer 2005
Bei ni 26.5m
Please ni pm kwa maelezo zaidi
View attachment 845517View attachment 845518View attachment 845519View attachment 845523
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri wewe neno "hybrid" ni improved version of something, harrier SUV wana version zaidi ya mbili kama sikosei, so ni version ya 98-2002 ndy huwezi ita hybrid. Lkn kuanzia mwaka 2003 wametoa harrier yenye improved version na ambayo iko more sophisticated , so unaweza ita hybrid. Na pia kuna hii ya 2010+ nayo ni hybrid.
engine 3gr ndo hybrid...???Acha kukariri wewe neno "hybrid" ni improved version of something, harrier SUV wana version zaidi ya mbili kama sikosei, so ni version ya 98-2002 ndy huwezi ita hybrid. Lkn kuanzia mwaka 2003 wametoa harrier yenye improved version na ambayo iko more sophisticated , so unaweza ita hybrid. Na pia kuna hii ya 2010+ nayo ni hybrid.
Brother kwenye ulimwengu wa masoko au biashara kuna kitu wanaita target market "soko lengwa" hy probox ni rahisi kuuza kulingana na maoni na mtazamo wako, kuna mwingine ukimwambia umuuzie hy gari anaweza akakupiga kibao, na ndy mana huyaoni mengi mjini. Sisi tunauza magari mjini....watu wa mjini ni aghalabu sana anunue gari la kutembelea at the same time aligeuze kirikuuu (kubebea mazao).Gari rahisi kuuza zipo mkuu, kuna gari inaitwa probox, hii bana ukiwa nayo na unataka kuiuza inaenda fasta, haka ni kagari ka kazi, kanafaa kwa taxi, kubeba mizigo myepesi myepesi, kubeba abiria nk nenda mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa uone shughuli yake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula 18 ndugu
Wakuu mmenikumbusha nilipokuwa na shida nikataka kuuza gari yangu. Nilianzia 1m juu ya bei kusudiwa ya kuuza. Tujaalie nilianzia 16m nikitaka kuuza kwa 15m.Mwenzako wa 20 kapigwa chini.
*keyword ni kuwa ulikuwa unauza kwasbb ulikua na shida na pengine ulikua desperate upate hy pesa ili utatue shida yako, na siku zote ukiwa unauza kitu hali ya kuwa uko desperate hutokea hvy. Alafu kuna kitu inaitwa value for money huwezi uza kitu chenye thamani kubwa kwa pesa ya kawaida au ndogo mana hata mnunuaji atakuwa curious.Wakuu mmenikumbusha nilipokuwa na shida nikataka kuuza gari yangu. Nilianzia 1m juu ya bei kusudiwa ya kuuza. Tujaalie nilianzia 16m nikitaka kuuza kwa 15m.
Akapatikana mteja mwenye pungufu ya 500,000 (yaani 14.5m). Nikakataa kumuuzia.
Baadaye akapatikana wa pungufu ya 1m (yaani 14) nikamwambia nilimkataa mwenzako mwenye 14.5m. Akasepa.
Wiki zikakatika pasi kupata wateja, baadae nikapata mteja wa 2m pungufu( yaani 13m ktk mfano wetu). Duh, hapo nikaona hakuna namna, niiuze maana vyuma vimekaza.
Nikajifunza kuwa pesa ndio kila kitu. Uuzapo kitu wewe ndio mwenye shida, inatakiwa uwe mwepesi wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Otherwise, utakuja juta kama mimi.
Umenena vyema!Wakuu mmenikumbusha nilipokuwa na shida nikataka kuuza gari yangu. Nilianzia 1m juu ya bei kusudiwa ya kuuza. Tujaalie nilianzia 16m nikitaka kuuza kwa 15m.
Akapatikana mteja mwenye pungufu ya 500,000 (yaani 14.5m). Nikakataa kumuuzia.
Baadaye akapatikana wa pungufu ya 1m (yaani 14) nikamwambia nilimkataa mwenzako mwenye 14.5m. Akasepa.
Wiki zikakatika pasi kupata wateja, baadae nikapata mteja wa 2m pungufu( yaani 13m ktk mfano wetu). Duh, hapo nikaona hakuna namna, niiuze maana vyuma vimekaza.
Nikajifunza kuwa pesa ndio kila kitu. Uuzapo kitu wewe ndio mwenye shida, inatakiwa uwe mwepesi wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Otherwise, utakuja juta kama mimi.
Hii siyo hybrid sema chogo hybrid bei yake parefuNauza Harrier hybrid (new model) inauzwa