KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Kwakweli sielewei shida ni nini hasa, ni cc waTanzania kuwa ni wavivu wa kudadisi mambo kwa maana ya kuwa na hamu ya kujifunza zaidi na kuwa huru kifikra au ni kasumba tu ya kufanya mmb kwa mkumbo na kukariri au nn? Mana nikisema labda shule itaonekana labda nabagua watu fln, lkn basi itoshe kwa sisi kuelewa kuwa tuna wajibu wa kuwa huru katika mawazo yetu....sasa hapa napata shida na wakati mwingine nageuka mwalimu sasa kuwaeleza watu juu ya neno hybrid na matumizi yake hasa katika Uzi huu. Tuna smart phone embu tuingie hata Google kujifanyia utafit na kupata maarifa zaidi na kuacha kasumba y kukaririshwa maneno ya vijiweni na mafundi gereji wa chini ya muembe. Ni sababu ya kukariri na kupotoshana huku hupelekea kucreate fear kwa wengi wetu kuogopa kununua magari tofauti na toyota na mwishoe tukajikuta tuna magari yaliyofanana kama sare,
Mkuu, gari ya mleta mada itakuwa ni Harrier Hybrid Series MHU 38 ambapo kuiingiza Bongo gari hiyo ya 2005 si chini ya 31m. Wewe pengine wazungumzia Hybrid MHU 60, ambayo ni ndiyo toleo jipya kwa sasa, zimeanza kutengenezwa 2013.
Asante..u said it all, and said it well.Mkuu, gari ya mleta mada itakuwa ni Harrier Hybrid Series MHU 38 ambapo kuiingiza Bongo gari hiyo ya 2005 si chini ya 31m. Wewe pengine wazungumzia Hybrid MHU 60, ambayo ni ndiyo toleo jipya kwa sasa, zimeanza kutengenezwa 2013.
mkuu model ya tatu ambayo Xu60 2013 ndo hybrid...third generationMkuu, gari ya mleta mada itakuwa ni Harrier Hybrid Series MHU 38 ambapo kuiingiza Bongo gari hiyo ya 2005 si chini ya 31m. Wewe pengine wazungumzia Hybrid MHU 60, ambayo ni ndiyo toleo jipya kwa sasa, zimeanza kutengenezwa 2013.
Ndugu yangu.
Umesema maneno meengi lkn Harrier Hybrid zina model number zake.Kwakweli sielewei shida ni nini hasa, ni cc waTanzania kuwa ni wavivu wa kudadisi mambo kwa maana ya kuwa na hamu ya kujifunza zaidi na kuwa huru kifikra au ni kasumba tu ya kufanya mmb kwa mkumbo na kukariri au nn? Mana nikisema labda shule itaonekana labda nabagua watu fln, lkn basi itoshe kwa sisi kuelewa kuwa tuna wajibu wa kuwa huru katika mawazo yetu....sasa hapa napata shida na wakati mwingine nageuka mwalimu sasa kuwaeleza watu juu ya neno hybrid na matumizi yake hasa katika Uzi huu. Tuna smart phone embu tuingie hata Google kujifanyia utafit na kupata maarifa zaidi na kuacha kasumba y kukaririshwa maneno ya vijiweni na mafundi gereji wa chini ya muembe. Ni sababu ya kukariri na kupotoshana huku hupelekea kucreate fear kwa wengi wetu kuogopa kununua magari tofauti na toyota na mwishoe tukajikuta tuna magari yaliyofanana kama sare,
Umaposema hybrid kwenye gari kwa uelewa wako huwa ina maanisha nini? Sababu nijuavyo mimi hybrid sy model ya gari, hybrid inaweza kuwa kwenye Mark ya gari yyt ile ilmradi iwe na mfumo wa mafuta na umeme unaweza kutumika kwa pamoja, gari za aina hii zinapokua ktk speed ya aina fln hujitoa ktk mfumo wa mafuta na kwenda mfumo wa umeme automatically na gari hujikuta inatumia less fuel. Kwahy niliyopost inaweza "isiwe" hybrid kama unavyon'gan'gania ila nachojua ina mfumo kama huo nilioueleza hapo juu.Umesema maneno meengi lkn Harrier Hybrid zina model number zake.
Hiyo aliyoutuma ni Harrier 240G, picha zinaonyesha model number wazi.
240G sio hybrid.
Kukuelimisha kidogo, nje ya elimu yako ya google. Angalia picha iliyotumwa kwny post #1.
View attachment 853005
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii gari yako ni Push To Start ???Asante..u said it all, and said it well.
Ok, hivi nikinunua kwa hiyo 26m gharama zipi zingine nitaingia tofauti na hiyo buying price.... Mfano kodi labda, bima, ushuru, kuhamisha umiliki TRA or something.Nope
Tafsiri yako ya hybrid systems iko sahihi kabisaa.Umaposema hybrid kwenye gari kwa uelewa wako huwa ina maanisha nini? Sababu nijuavyo mimi hybrid sy model ya gari, hybrid inaweza kuwa kwenye Mark ya gari yyt ile ilmradi iwe na mfumo wa mafuta na umeme unaweza kutumika kwa pamoja, gari za aina hii zinapokua ktk speed ya aina fln hujitoa ktk mfumo wa mafuta na kwenda mfumo wa umeme automatically na gari hujikuta inatumia less fuel. Kwahy niliyopost inaweza "isiwe" hybrid kama unavyon'gan'gania ila nachojua ina mfumo kama huo nilioueleza hapo juu. View attachment 853061
Okay, kama utainunua kwa bei hy basi gharama pekee utakayoingia ni ya kubadilisha ownership ambayo I think haizidi laki 2( kama hawajabadilisha). Basically hy ndy cost utakayoingia ili gari liwe mali yako kbs, gharama zingine imeshalipiwa or for more info unaweza niPM if you don't mind.Ok, hivi nikinunua kwa hiyo 26m gharama zipi zingine nitaingia tofauti na hiyo buying price.... Mfano kodi labda, bima, ushuru, kuhamisha umiliki TRA or something.
Nisaidie makadirio ya unforeen expenses nikadirie mfuko wangu.
I mean nijue mpaka kuiweka gari kisheria barabarani nijiandae kuwa na total gani may be 40m, 50m, 30m or something.
Kama hujui kukadiria basi niambie tu vitu vingine nitakavotakiwa kulipa zaidi ya hiyo buying price.
Huyo mnyama kafanana sana na SANTARA!Hii ndiyo harrier hybridView attachment 852860View attachment 852861
Sent using Jamii Forums mobile app
Used TOYOTA HARRIER Models Comparison | BE FORWARDHybrid inauzwa 80mil. Na mafuta inakula km kibaoView attachment 853117
Sent using Jamii Forums mobile app
dada huyu mnyama hata kluger haoni ndani.
Kwanini hizo gari kuuzika ngumu wakati wanaoziuza naonaga wanaanza na bei ndefu nisaidie nitambue hiloHizi gari ngumu kuziuza... Ukiwa tayari kwa 20M nitafute.