Naomba nijue utumizi wa mafuta wa Harrier Hybrid

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habar wanajamvi.
Naomba nisaidiwe fuel consumption ya hybrid harrier na inayotumia engine gani ndio nzuri kwa economy life.

Ahasnteni
 
Habar wanajamvi.
Naomba nisaidiwe fuel consumption ya hybrid harrier na inayotumia engine gn ndio nzur kwa economy life.

Ahasnteni
Kiujumla yenye engine ndogo ndio itakayokuwa inatumia mafuta kidogo kwani hybrid system hufanya kazi only below 60km/h zaidi ya hapo engine hufanya kazi kama gari ya kawaidatu hivyo kama engine ni 2AZ 2360CC itatumia mafuta kidogo ukilinganisha na hybrid yenye 3000cc
 
Kwahy whats special kwa hybrd cars over non

Ila Hybrid cars si unazijua?
Zipo za aina nyingi ila kwa ufupi zinakua na Means zaidi ya Moja ya power. Moja ni Engine na nyingine ni Battery (Umeme).
Gari ikiwa kwenye speed ukapiga brake, ile lost energy inform of Heat inapelekwa kwenye Battery (si unajua conservation of energy, energy can neither be lost nor created), kwahiyo iyo energy inakua Umeme.

Kwahiyo ukiwa unaendesha iyo energy ya kwenye battery inakua inachangia kwenye wese ivo ulaji wa wese unakua mdogo.
 
Kiujumla yenye engine ndogo ndio itakayokuwa inatumia mafuta kidogo kwani hybrid system hufanya kazi only below 60km/h zaidi ya hapo engine hufanya kazi kama gari ya kawaidatu hivyo kama engine ni 2AZ 2360CC itatumia mafuta kidogo ukilinganisha na hybrid yenye 3000cc
Harrier ya kawaida (2003-2013) 9-11km/L.
Harrier hybrid( 2005-2013) 17.8/L
Harrier hybrid(2014-2020) 21km/L

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom