Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

Nilichokigundua humu Jf huyu dogo harmorapa anachukiwa sana hasa na wanawake Na wa wanaume wachache wenye tabia za kike like!!
Hapana ,harmorapa anachukiwa na wanaume hasa mimi ni miongoni mwa watu tusiompenda harmorapa kwa sababu ya kupenda kiki za kijinga

Wadada wengi wanamkubali
 
Kwa WCB harmonize ni wa mwisho kwenye kuimba..... hahahaha naona wamakonde wanabanana hawapeani pathi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom