Kuna msanii anaitwa Fred Saganda yule aliyeimba wimbo wa Rafael! Sijui kama kuna msanii nchi hii multitalented kumzidi huyu jamaa tena msomi, Lakini mafanikio yake hayalingani kabisa na talanta lukuki alizojaaliwa!
Si kila kitu maishani huja automatically vingine vinahitaji approach ya Harmorapa!
Mungu alituumba kwamfano wake unaposema mwenzio sula yake mbaya na kumcheka ina maana unamgusa mpaka bwana wa majeshi mungu.tuache hizo tumpe sapot kjana apige tour alete mbumba za kgeni tz