Harmorapa Fans' Special Thread...

Hahahhahaha we harmorappa em acha kutushughulisha... mkuranga tu hapo hawajui hata nyimbo yako moja... !!
 
huyu hamorapa ndio yule mwenye sura kama ganda la limao? mxxxxxx
 
Anawashauri wafanye mziki mzuri
yeye anamziki UPI mzuri
kiki za ajabu hazifai kwenye media
wakati yeye ndio zimemuweka mjini
 
Huyu dogo hata kama hajui muziki au hana talent lakini ni "mbishi" hii kitu watu wengi hatuna na ni kikwazo kwa mafanikio yetu! Go go Harmorapa!
Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…