Super women 2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 5,164 Reaction score 6,549 Mar 8, 2017 #501 grace1 said: Ukimwi unamsubr yeye anadhn cfa Click to expand... Kwa style hiyo. , atakuwa ameshapata kabisa. Kuna watu hawajali afya. Kisa kiki ndo anahatarisha afya yake.
grace1 said: Ukimwi unamsubr yeye anadhn cfa Click to expand... Kwa style hiyo. , atakuwa ameshapata kabisa. Kuna watu hawajali afya. Kisa kiki ndo anahatarisha afya yake.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 8, 2017 #502 atafute pesa
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Mar 8, 2017 #504 Ha ha ha daah JF haijawahi kuniangusha aisee,.i
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,320 Mar 8, 2017 #505 Aggayah said: Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumb*vu wako! Click to expand... same to u na huyu msukule mwenzio!
Aggayah said: Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumb*vu wako! Click to expand... same to u na huyu msukule mwenzio!
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,816 Mar 8, 2017 #506 ha ha uzembe huo, 76 tu?
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,221 Reaction score 4,692 Mar 8, 2017 #507 Hamorapa ndio msanii Handsome kuliko wote Africa, sema tu hapendi kujionyesha.
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,652 Reaction score 3,180 Mar 8, 2017 #508 MKATA KIU said: bothi wangu irene thabukaaa.. ni bothi mzuri sana Click to expand... Mkuu hapo kwenye mzuri anasema mthuri thana
MKATA KIU said: bothi wangu irene thabukaaa.. ni bothi mzuri sana Click to expand... Mkuu hapo kwenye mzuri anasema mthuri thana
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 Mar 8, 2017 #509 Kazi kweli kweli
nalazuzu JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 481 Reaction score 439 Mar 8, 2017 #510 Kama ni kweli mauti ipo mlangoni inabisha hodi
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Mar 8, 2017 #511 Wasanii wetu bhana hahahaah
rymond Gabriel Senior Member Joined Sep 3, 2016 Posts 164 Reaction score 82 Mar 8, 2017 #512 Mrisi halali wa Remy wangala
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Mar 8, 2017 #513 njiwa said: huyu jamaa mbona anaongelewa sana mitandaoni .. nahitaji kumjua zaidi.. jina lake la serikali anaitwa nani ? Click to expand... Wewe huyo mjue tu kama harmo the rapper himself inatosha
njiwa said: huyu jamaa mbona anaongelewa sana mitandaoni .. nahitaji kumjua zaidi.. jina lake la serikali anaitwa nani ? Click to expand... Wewe huyo mjue tu kama harmo the rapper himself inatosha
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Mar 8, 2017 #514 Ngoja nimfuata kujua jinsi ya kupata kick
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Mar 8, 2017 #515 hamorapa a.k.a komando kipensi,,,,,.......one man army,,, rapa wa kimataifa ...[HASHTAG]#hamorapa4BET2017[/HASHTAG]
hamorapa a.k.a komando kipensi,,,,,.......one man army,,, rapa wa kimataifa ...[HASHTAG]#hamorapa4BET2017[/HASHTAG]
Mndundu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 233 Reaction score 34 Mar 8, 2017 #516 Kiroboto na majani wenyewe wamemkubali...
John Cannor JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,463 Reaction score 1,827 Mar 8, 2017 #518 Anaimba kitu gani huyu mtu? singeli au kiduku?
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Mar 8, 2017 #519 BansenBurner said: Click to expand... Mimi nina sura mbaya ....ila huyu pia sura yake ni coco
P Peter Simba Senior Member Joined Nov 23, 2016 Posts 191 Reaction score 173 Mar 8, 2017 #520 ameimba nyimbo gani uyu jamaa?