KIKI ZA HUYU boya zinakeraaaaaaaa
ANANUKA USHAMBA kwisha kazi!
sura mbaya kama makumbi ya Nazi!
anaongea mdomo mzito kama kafungiwa koleo mdomo wa chini!
yani YUUUUUUUUUUUUUCK!
KICHEFU CHEFU PLUS PLUS!
sasa hapo kafanishwa na harmonize pumbaaavu huyu wangemfananisha na kina mwanafa sijui solo thang , jmoo ,juma nature and the like SI ANGEKUWA ANAKUNYA BARABARA ASBH MCHANA NA JIONI?
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu