1. Aangalie asije akahusishwa na...
2. Nilidhani hatoziokota... wenzake wanaziachaga tu, wengine wanakuja kuzigombania.
3. Anayemtumia anamtumia vibaya sana... atakuja kumshusha vibaya sana..
4. Wengi wanaojionesha kwenye mitandao ya kijamii kwamba wana maisha fulani ya juu au mbwembwe, kiuhalisia hawana hayo maisha, mwenye nacho hatumii nguvu kujulikana... Pesa huongea yenyewe, hujielezea yenyewe...