shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Feb 6, 2017 #281 Huyu jamaa nouma
Infopaedia JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,231 Reaction score 1,495 Feb 6, 2017 #282 RGforever said: Hivi huyu Jmaaa anafanya Nn Mjini.... Naona Skendo tu kila Siku Zisizo na Mbele wala Nyuma Click to expand... Hana kazi ila anafanana na mwenye kazi. Usiniambie mkuu huijui hiyo fursa.
RGforever said: Hivi huyu Jmaaa anafanya Nn Mjini.... Naona Skendo tu kila Siku Zisizo na Mbele wala Nyuma Click to expand... Hana kazi ila anafanana na mwenye kazi. Usiniambie mkuu huijui hiyo fursa.
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Feb 6, 2017 #283 Kweli kuna vijana wanatumia mitaji yao vizuri, Mungu kamnnyima sura kamnyima elimu lakini kuna kitu kapewa, sasa huyo mama kakiona hataki kukiacha. Punda alinyimwa pembe akapewa masikio, akapewa na mlio wa milele na milele.
Kweli kuna vijana wanatumia mitaji yao vizuri, Mungu kamnnyima sura kamnyima elimu lakini kuna kitu kapewa, sasa huyo mama kakiona hataki kukiacha. Punda alinyimwa pembe akapewa masikio, akapewa na mlio wa milele na milele.
Gaspare Mbile JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 1,567 Reaction score 1,605 Feb 6, 2017 #284 Harmorapa ndo nini kwani?
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,340 Feb 6, 2017 #285 Makonda akiupdate list mnishitue wazee
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Feb 6, 2017 #286 huyo ndo nani? nijuzeni wakuu
Mwafwaa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 452 Reaction score 239 Feb 6, 2017 #287 Ni vzr kama anayependa kupost v2 vya huyu dogo akasubil tukaona kazi mbili tatu ndo akaendelea na upuuzi. Nimechoka kumuona xaxa!
Ni vzr kama anayependa kupost v2 vya huyu dogo akasubil tukaona kazi mbili tatu ndo akaendelea na upuuzi. Nimechoka kumuona xaxa!
M massaiboi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 1,359 Reaction score 2,058 Feb 6, 2017 #288 Mie nadhani huyu dogo ni houseboy wa huyo binti na binti ni nyumba ndogo ya mtu fulani mwenye vijisenti i.e. billions. Kwa hiyo wameamua tuu kucheza na hisia za watu
Mie nadhani huyu dogo ni houseboy wa huyo binti na binti ni nyumba ndogo ya mtu fulani mwenye vijisenti i.e. billions. Kwa hiyo wameamua tuu kucheza na hisia za watu
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Feb 6, 2017 #289 chipolopolo 2 said: Huyu dogo kaimba wimbo upi Click to expand...
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Feb 6, 2017 #290 Hawa watakuwa washaunganisha vikojoleo sio bure
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,010 Feb 6, 2017 #291 Nimeamini ukitaka umaarufu bongo ujitoe akili tu.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Feb 6, 2017 #292 Gide MK said: Siujui wimbo hata mmoja wa huyu dogo zaidi naona vituko vyake tu vya kijinga Click to expand... Huu hapa....Usitoe Pasi..
Gide MK said: Siujui wimbo hata mmoja wa huyu dogo zaidi naona vituko vyake tu vya kijinga Click to expand... Huu hapa....Usitoe Pasi..
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 6, 2017 #293 Balantanda said: Huu hapa....Usitoe Pasi.. Click to expand... Hahahah mkuu na wewe unamuelewa Harmorapa nini?lol
Balantanda said: Huu hapa....Usitoe Pasi.. Click to expand... Hahahah mkuu na wewe unamuelewa Harmorapa nini?lol
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Feb 6, 2017 #294 Numbisa said: Mjini maigizo mengi.View attachment 467644 Click to expand... HUU MGUU HATARI SANA
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Feb 6, 2017 #295 Hahahaa mwita ke mwita said: HUU MGUU HATARI SANA Click to expand...
M Mashindanolivinus Member Joined Dec 10, 2016 Posts 27 Reaction score 22 Feb 6, 2017 #296 Kiki shilingi ngapi!?
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Feb 6, 2017 #297 Bome-e said: Unajua maana ya kuwa sober? Click to expand... Hahahaha...hawa ni wale husikia neno kwa watu na wao kuanza kutumia bila kufahamu maana yake halisi.
Bome-e said: Unajua maana ya kuwa sober? Click to expand... Hahahaha...hawa ni wale husikia neno kwa watu na wao kuanza kutumia bila kufahamu maana yake halisi.
katto14 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 226 Reaction score 62 Feb 6, 2017 #298 dogo apunguze wenge
kadinali JM JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 379 Reaction score 305 Feb 6, 2017 #299 Wasiwasi wangu tu ni kwamba usikute
kadinali JM JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 379 Reaction score 305 Feb 6, 2017 #300 Wasiwasi wangu: usikute anaandaliwa kuwa donkey wa kubeba ngada