Harmony sex doll

Mabaharia wataunda kicoba walinunue walile mtungo litoroke likahadithie uko ulaya
 
Baharia mwandamizi 🤣🤣🤣 nakubali sana kaka. Nyuklia wabakie nazo maabara au sio!
 
22,500 kwa wiki,natamani ingekuwepo hapa tz,ningekodi sana,kuliko kuwa na hawa wakina kodi imeisha,sjui kusuka,sjui marejesho ya vikundi
Bora mbau kila week kuliko invoice zisizo na idadi za akina mwajei na bado atakuachia UTI maana anakitembeza tu.
 
Huyo hamna burudani anakosa tena anaweza kuwa 10 times more better than a regular lady maana hana drama za kijinga. Alichokosa ni pumzi tu!!! Msijifariji kabisa...tunaelekea era ya AI sasa.
beijingi watapopoa sasaivi 😀 😀
 
Yaani ME mwenye akili timamu unaenda dukani eti kulinunua sanamu na kujifungia nalo chumbani eti unagegeda!!!! 😳😳😳😳

Hii dunia yetu sijui inaelekea wapi!?
Ipo siku hizo nguvu unazoringia utakuwa huna mkuu 🤣🤣🤣 kisukari kikishagonga hodi! Hao unaotamba nao watakuona miyeyusho tu omba sana uzeeke na hela za kuhonga.
 
wafungue duka hapa Dar na liwe wazi time za usiku 😎
 
Kama halipigi mizinga na kunywa KVant basi halija meet standard
 
Reactions: amu
Huyo hamna burudani anakosa tena anaweza kuwa 10 times more better than a regular lady maana hana drama za kijinga. Alichokosa ni pumzi tu!!! Msijifariji kabisa...tunaelekea era ya AI sasa.
Kamnunue basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…