Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,154
- 17,020
Wote wabovu tu. Mjanja Mondi
Leo usirudiKiba yupi? yule kwa upande wangu hata umuweke na beka flavor mimi i go for beka
kiba100 kumbe mjinga?Jamani acheni kumfananisha Harmonize na mambo ya kijinga basi
Jina lako linasadifu akili yako... Empty SetNasikia kiba anaogopa kutoa wimbo kwa sasa hivi maana anaogopa anaweza asipokelewe vizuri, seduce me ili hit sababu ya huruma ya mashabiki baada ya domo na timu yake kutoa nao wimbo jioni ile ile aliyotoa kiba.
Kondeboy yupo kikazi zaidi. Nampa konde boy.
Watoto wa 2000 hawawezi kuiona heshima ya kingMpeni King heshima yake
Nakazia hapoAcha kumfananisha kiba na vitu vya kipumbavu