wanao gandamizia hua wanakua na upepo wa muda tu,baada ya mda tupakule[emoji12]ungekuwa mchezaji mpira alfu anatokea mtu anakwambia unacheza kama Messi cjui ungejisikiajee,,,!' bas jins ungejisikia ndo ivyo anavyojisikia Harmonize kufananishwa na Diamond kila mtu anataman kuwa kama yule anampenda