Harmonize ni Moto wa kuotea mbali

Harmonize pia ni tajiri wa melodies..

Nyimbo zake zina melodies ambazo hazifanani fanani sana.

Nazikubali ngoma zake..Kwenye hii "Naogopa" kamficha kinoma Marioo.
 
uyo mmakonde atakuja kutuua kwa stress na hizo nyimbo zake za mapenzi

huo wimbo wa mtaje ni moja kati ya nyimbo ambazo hazijawahi tokea bongo hapa

makonde kafanya ngoma kali hatari

napenda sana pale anaposema " anayelenga kwa rula siku zote ndie apatae "

All the way up hormonize ....upo juu sana mdogo wetu
 
Kuna ule Wimbo wake anaimba hivi....

Liwalo na Liwe... sijui nini huko....Anaendelea...

That song is a whole vibe...
Keep the good Music alive Konde.
 
Kwa uchawi pia ni moto wa kuotea mbali
 
Huyu dogo nimechelewa kumkubali...ila kwa sasa mimi ni bonfe la fan wake ndaki ndaki yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…