Alisema tarehe 27 june 2020 atafanya uzinduzi wa album ya Afro East kwa mara ya pili special kwa ajili ya wale wasioalikwa Mlimani City (wananchi wa kawaida).
Show alisema itafanyikia uwanja wa Uhuru na wasanii wote walio shirikishwa ktk album ya Afro East watakuwepo siku hiyo ya 27 june.Sasa kahairisha au hatofanya tena au atasogeza mbele.