Harmonize kaingia kusiko!

Wasanii wanadai ni vizuri wao kuongeza mapambo na nakshi ili waonekane tofauti na watu wengine

Michael Jackson alikua mwanamziki genius,ni mwanamziki aliyekua anafanya kazi kwa mahaba makubwa sana,
Hata huku yanawezekana ila ulimbukeni na kufuata mkumbo ndio imekuwa priority
 
JE ALICHOKIFANYA HARMONIZE NI SAHIHI?
Msanii Harmonize Kupitia Kionjo cha Wimbo wake Mpya Dunia Ameimba kuwa Anaamini Mungu yupo na Anajua hata akitaka kumchukua Sasa Hivi anamchukua Lakini Anataka Kujua Kwanini Mungu aliweka kila Vitu Vizuri Viwe Ni vya Kishetani
Pesa si shetwani na haijawahi kuwa shetwani. Tunajenga misikiti na makanisa kwa kutumia pesa. Sadaka na misaada mingine kwa wasiojiweza tunatoa pesa zenyewe au vitu vilivyonunuliwa kwa pesa. Pesa ni nyenzo (medium of exchange) inayotumiwa na mtumiaji kupata kile anachohitaji.

So anayeamua pesa itumike kwa mambo yasiyofaa au yanayofaa ni mtumiaji. Ni kama kisu unaweza kumchoma mtu akafa au ukakitumia kisu hichohicho kukata nyama kwa ajili ya pilau zuri kbs watu wakaifurahia jpili yao nzr kbs kama ya leo.
 
Harmonize kaongea ukweli mchungu Sana, Kwa haraka haraka huwez kumwelewa duniani ukishaanza kuwa maarufu Tu, wazee wa kazi wanakufata, ukitaka kumantain status inabd ukubaliane nao.

Jamaa anauliza why kama Mungu yupo na anaruhusu hawa jamaa kuwa na nguvu Kiasi hicho, ni kilio kikubwa Bahati mbaya ukiingia sio rahisi kuchomoka ....!!! Kondeboy mtu mbadi yupo under hot supu.
Fuatilia historia ya Shetani utagundua kuwa nguvu zake sio za kitoto, kama alimpiga Yesu mtoto wa Mungu je atamshindwaje binadamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom