mkuu tamasha bado ni tare 17Kushoto kulia,hujanikomoa,Hainshtui now huo ni ushamba.............
Uzuri wenyewe siku hizi Chibu hajibu.Anaacha kupromote album yake anahaika kuponda manake alisema ana video zote 18,lkn sizani kama video alizotoa zinazidi 5 za hiyo album,kuna nyimbo mbili kali ya ft Morgan Heritage -Makaika na ft Skales-Rhumba,ila yy kakomaa na hizi nyimbo ambazo hazi msaidii kitu,zinashindwa kutrend hata Kenya.
Diamond anamfikiria sana mpaka anamtoa nje ya mstari,manake alisema tarehe 7 Nov angekuwa na Tamasha Uhuru Stadium kwa mda wa siku 3 mfululizo lkn kimya,katuhaidi kutulia Ubwabwa kila baada ya kipindi fulanikama Rungwe lkn nayo kaifanya mara Karume moja baadae kimya.
siujuiHuu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video.
Wasanii idea za video na nyimbo wanazotunga huwa wanawaza wapi ndugu zanguni? mbona kama wote wapo mule mule kwenye bahari 1 ya mawazo mtu ninaemuona anaogelea kimawazo bahari tofauti na wenzake ni diamond,ila hizi idea za namna hii kweli unasema ni msanii kaimba hiki kituko?
Hamonize huo ni ushamba narudia tena kumuweka diamond feki kwenye wimbo wako kumekurudisha hatua 100 nyuma,matokeo yake hutoyaona sasa hivi subiri mwenzako atoe kitu ndio utajua hasira za mashabiki zake.
moja ya nyimbo mbovu kuwahi tungwa na huyu mmakonde ni hii HUO NI USHAMBA.
Ndio hilo atalifanya kwa siku tatu mfululizo?mkuu tamasha bado ni tare 17
yeahNdio hilo atalifanya kwa siku tatu mfululizo?
OK.yeah
Haha lol kwamba nanawiri kwa sababu ya umbea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana unazidi kunona na kunawili maana kamoyo kako kanakua na rahaa muda wote
HahahMmakonde nae ntu?
Jinga sana hili jamaa,aliyoyaimba yote yanamlenga yeye.Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video.
Wasanii idea za video na nyimbo wanazotunga huwa wanawaza wapi ndugu zanguni? mbona kama wote wapo mule mule kwenye bahari 1 ya mawazo mtu ninaemuona anaogelea kimawazo bahari tofauti na wenzake ni diamond,ila hizi idea za namna hii kweli unasema ni msanii kaimba hiki kituko?
Hamonize huo ni ushamba narudia tena kumuweka diamond feki kwenye wimbo wako kumekurudisha hatua 100 nyuma,matokeo yake hutoyaona sasa hivi subiri mwenzako atoe kitu ndio utajua hasira za mashabiki zake.
moja ya nyimbo mbovu kuwahi tungwa na huyu mmakonde ni hii HUO NI USHAMBA.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mtu atoke tandahimba asiwe mshamba?
Mbona inakuuma sana take it easy maisha mafupiHuu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video.
Wasanii idea za video na nyimbo wanazotunga huwa wanawaza wapi ndugu zanguni? mbona kama wote wapo mule mule kwenye bahari 1 ya mawazo mtu ninaemuona anaogelea kimawazo bahari tofauti na wenzake ni diamond,ila hizi idea za namna hii kweli unasema ni msanii kaimba hiki kituko?
Hamonize huo ni ushamba narudia tena kumuweka diamond feki kwenye wimbo wako kumekurudisha hatua 100 nyuma,matokeo yake hutoyaona sasa hivi subiri mwenzako atoe kitu ndio utajua hasira za mashabiki zake.
moja ya nyimbo mbovu kuwahi tungwa na huyu mmakonde ni hii HUO NI USHAMBA.
🤣🤣🤣🤣Kila nyimbo kifua wazi