Harmonize haujanikomoa

Harmonize haujanikomoa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,653
wakuu njoo mtoe comments kuhusu hii Ngoma naona kijana kaamua kumnyanganya mashabiki mpka meja kunta.

Diamond platnumz ulitengeneza dubwana sasa linakutesa lenyewe.


kama CCM walivyotuambia tutaisoma namba sasa wanaisoma wenyewe mara wanajiuzuru uanachama


KONDEBOY FOR EVERYBODY.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Support All movements kijana. Acheni ushabiki maandazi. Diamond ..konde..rayvany..kiba..wote ni Watanzania. Support mziki mzuri kwa artist yeyote. Duniani huku nigeria nyimbo zao zinapigwa sana.
 
Wimbo mzuri umekaa kama mchiriku(mnanda)
 
Back
Top Bottom