Fumbo Khan
Member
- Dec 1, 2020
- 5
- 9
Msanii Harmonize baada ya kudondosha muziki wake wa USHAMBA amekuwa akiweka post mbali mbali zikiashilia kama kijembe na kujawa na majigambo kuhusu wimbo wake huo hii hapa chini ni miongoni mwa kijembe alicho kirusha huko INSTAGRAM.