Degelingi_One
Member
- Nov 17, 2018
- 72
- 122
Kama Wema Sepetu alijaribu kugombea Ubunge.. basi wacha tu Harmonize awe Mbunge aisee.Jamaa atakuwa Mbunge kweli.
Kipindi ile wananchi ndio walikuwa wanachaguazKama Wema Sepetu alijaribu kugombea Ubunge.. basi wacha tu Harmonize awe Mbunge aisee.
Una ushahidi?Msanii akishajiingiza katika siasa, basi sanaa inamshinda.
Nlichogundua ni muheshimiwa Raisi anaumia sana chadema kuwa na wabunge waliotoka kwenye mziki harafu ccm hakuna kwahiyo anataka afanye kila njia kuwaingiza hao vijana wawili bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Eee harafuNlichogundua ni muheshimiwa Raisi anaumia sana chadema kuwa na wabunge waliotoka kwenye mziki harafu ccm hakuna kwahiyo anataka afanye kila njia kuwaingiza hao vijana wawili bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndioo ivyoo mzee.. mwakani mjengoni baada ya miaka mitano anasubiri pensheni yakeDaaah haya maisha bwanaa, mtoto wa mtwara ndio kashatoboa hivo.
Ccm wakipania anapita tyuu.. Nakumbuka ilitokeaga Jimbo la kalenga. Baada ya kifo Cha waziri wa fedha na mipango mh. Mgimwa na (mb) Kuna dogo mtoto wa marehemu aliteuliwaga kum_replace. Alikuwa hawezi hata kusimama jukwaani Lakini ccm walifanya kila namna dogo akapitaaaHarmonize ashindwe tu mwenyewe.