sijui kama ni yeye, kuna kijana mmoja mtoto wa mwapachu tulikuwa tunashinda wote pale mikocheni B njia ya kwenda kwenye kota za mawaziri nyuma ya radio one, alikuwa anakunywa sana pombe. alikuwa simple sana, sijui anacheo gani ila nadhani alikuwa na biashara zake tu. naomba unijulishe maana ni mwaka tangu nihame mitaa ya mikocheni. RIP boyMtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un
Duuu...yashakuwa ya ushoga na ulevi? Ndio mambo ya kuleta habari za misiba vijiweni kama hapa.... anakaa mikocheni B maeneo ya shule ya ushindi na alikuwa anakunywa sana pombe..hata kifo chake kimetokea ghafla tena akiwa karibu na bar..maeneo ya kwake,karibu na maghorofa ya bima....
Mbaya zaidi ..marehemua alikua na kashfa ya kuwa shoga...binafsi namfahamu kiasi...
Majina makubwa sana (a.k.a Kilimanjaro) katika historia ya nchi yetu ni Nyerere, Karume, Sokonne na Kawawa. mengine ni ya kawaida sana (a.k.a Vichuguu), na mengine kama la Mapachu ni madogo sana (a.k.a Kokoto)Jina kubwa katika historia yetu kivipi? Alifanya nini kikubwa huyo Mwapachu?
Anaitwa Bakari Harith Mwapachu. Nadhani Harith ni jina la mtu mmoja anayeheshimika kwenye ukoo.
Aliyefariki ni Harith Mwapachu, kijana, mtoto wa Juma Mwapachu. Juma Mwapachu ni kaka yake na Bakari Harith Mwapachu.
CV inakusaidia nini wewe? kwa mfano nikisema nimefiwa mimi hunijui zaidi ya pole utanihoji nini? acheni hizo bwana
Aliyefariki ni Harith Mwapachu, kijana, mtoto wa Juma Mwapachu. Juma Mwapachu ni kaka yake na Bakari Harith Mwapachu.
Nani kasema ni lazima awe mwanasiasa au asiwe? Jibu swali, Mwapachu ni maarafu au ana jina kubwa katika historia, kwa lipi? Usinitajie vyeo vyake na amezaa watoto wangapi "walevi na mashoga" na amekuwa polisi wa kwanza ku graduate shule. I couldn't care less.mtu kuwa maarufu sio lazima awe mwanasiasa tu - hili jiina limekuwa maarufu katika nyanja za utendaji hasa serikalini kwa muda mrefu tu
Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie
Baba yao kina Juma na Bakari Mwapachu, alimsaidia sana Mchonga (Financially) katika harakati za kudai uhuru. Same applies to kina George Kahama, Marehemu Mzee Ally Sykes, Mzee Hamza Aziz (Kutoka Mtoni aka Mtoni Kwa Azizi Ally), Marehemu John Rupia nk. Ndio maana hawa watu miaka nenda miaka rudi, wako (au watoto wao) walikuwa kwenye vyeo vikubwa tu. Fadhila fadhila wana jamii.