Amina samahani marehemu alikuwa nani maana umetoa taarifa kama wote tunamfahamu Harithi Mwampachu. Poleni familia ya marehemu Allah awape uvumilivu katika kipindi hiki.
Amina samahani marehemu alikuwa nani maana umetoa taarifa kama wote tunamfahamu Harithi Mwampachu. Poleni familia ya marehemu Allah awape uvumilivu katika kipindi hiki.
Bado hujanijibu nikakuelewa, yaani alikuwa nani katika jamii hadi ukafikia kuleta thread humu ndani? Mimi namfahamu Bakari Mwapachu yule aliyewahi kuwa Naibu Waziri kipindi kile Usamala wa Raia baade ikaletwa tena Mambo ya Ndani. Ndiyo huyo mwanae, vinginevyo mwaga CV ya marehemu badala ya kuishia kusema amekufa.
Tunaomba Clarifications please, mimi ninafahamu aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge wa Tanga alikuwa anaitwa Harith Bakari Mwapachu. na mwingine yupo EAC anaitwa Balozi Juma Mwapachu, Sasa ni Yupi aliyefariki, au ni mtoto wa Juma Mwapachu i.e mdogo wake Harith Bakari Mwapachu??. More info please!
jina la mwapachu ni kati ya majina makubwa sana katika historia ya nchi yetu - anyeujua ukoo huo atudadavulie. kwa vyovyote vile naungana na wombolezaji. RIP.
Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie