Haris Kapiga umekuwa msoma taarifa wa kudumu wa Clouds Tv?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Huyu jamaa kila siku yeye ndiyo msoma taarifa, clouds badilikeni bhana au hamna mwingine msoma taarifa.
20170214_193321.jpg
 
Utawapangiajeeee??? Ina effect gani kwenye maisha yetu ya kila siku kuishi kama mashetani???
 
Watu mnaroho ngumu kwelu. Yaani uache taarifa za habari kwenye serious tv's uangalia habari clouz kweli? Are you serious? Tena kilasiku mpaka onafika mahali unawajua hadi wasomaji habari kwa majina na sura? Duh
Mimi ninarudia kusema watu humu ndani wanajishaua tu kuwa hawasikilizi clouds redio wala hawatazami clouds tv kila siku wanawatukana.
Ila ukifuatilia utajua wanayoyasema ni opposite na wanachofanya ndiyo maana wanajua vipindi vya clouds mpaka watangazaji na wanalalamika lalamika kwakuwa wanafuatilia.
Kama hufuatilii kitu, utakuwaje na malalamiko juu ya hicho kitu maana hata habari juu ya hicho kitu hutokuwa nayo.
 
Huwa anatoa hadi conclusion kwenye habari anazotangaza. Sijui kapita shule gani huyu.
 
Mchukueni Fredrick Bundala hapo ndiyo mtaalamu wa habari by profession na ana sauti nzuri
 
Back
Top Bottom