Habari wakuu,
Pale katikati ya mji wa mwanza kuna viwanja vya michezo na shule za msingi mbili Nyakabungo na Mirongo
Ilakini kuna tabia inaendelea pale uwanjani ya wale jamaa wanaotumia dozi ya kuacha Madawa ya kulevya kutoka hospitali ya seketule kwenda kuvutia bangi nyyma ya vichaka vya uwanja gori lakeshore na kulala hapo
Ikumbukwe wale ni watoto wetu tumewapeleka wakappate elimu na si elimu ya bangi na madapwa .
NAOMBA WAHUSIKA WAWASAIDIE WATOTO WETU
1;Kumalizia ukutata wa shule ya msingi mirongo
2;kuondoa wale wavutabangi maeneo ya shule si afya kwa watoto wetu