Hardware shops in Usa river, Arusha

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Wadau Sallam!

Hususani kwa watu wa Arusha na hususani zaidi kwa watu wa Usa River.

Kwa yeyote anayefahamu duka la hardware pande za Usa River, Arusha; tafadhali naomba contacts za duka/maduka husika.

Bidhaa ninazoulizia ni pamoja na:-
Gypsum board
Mikanda ya gypsum board, na
Misumari ya gypsum
Natanguliza shukrani zangu.
 
Wadau Sallam!

Hususani kwa watu wa Arusha na hususani zaidi kwa watu wa Usa River.

Kwa yeyote anayefahamu duka la hardware pande za Usa River, Arusha; tafadhali naomba contacts za duka/maduka husika.

Bidhaa ninazoulizia ni pamoja na:-
Gypsum board
Miranda ya gypsum board, na
Misumari ya gypsum
Natanguliza shukrani zangu.
Miranda au Mikanda
 
Kama unaishi maeneo hayo kweli umeshindwa kuuliza hadi majirani zako,ukafikiria kufungua Uzi hapa JF kwa jambo dogo kama hilo?
Mwisho utakuja kutuuliza tukusaidie kuchagua hata rangi za nguo zako za ndani!!)
Any way hongera kwa kujenga na sasa unaweka gypsum, hongera sana boss!!
 
Umenunua bundle, unaweza kuandika unachojisikia lakini wakati mwingine unatakiwa kujiongeza kwanza kabla huja-comment
 
Back
Top Bottom