Ahmad Mussa
Member
- Oct 21, 2011
- 46
- 19
Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni
msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!
msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!
Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni
msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili![/QU
Diga kosotu ndiyo hard disc.
Ubongo wa chuma (ubongochuma), hiyo tafsiri nadhani inaweza kukubalika.Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni
msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!