hahaha! mario nao hiyo ni case tofauti kidogo ila huyu ninayemsema mie ni kwamba haoni tu kama haya yanahaitajika.Kuna rafiki yangu huu uzi wako utakuwa umemgonga kumoyo... ipo siku ntakuonyesha i wish.... wanaume wa namna hiyo si ndio hao tunawaita Mariooo, wanaume wa namna hiyo lazima kisaikolojia uwe tayari kuishi nao la sivyoo ngumu sana.
Kwakweli huyo shemeji yangu inafika mahali anachanganyikiwa ada za watoto,kodi ya nyumba, chakula na mavazi anahangaika yeye mwenyewe. jamaa yeye viti virefu na misele kibao akijifanya yuko bussy... jamani tujitahidi malezi ya watoto wetu wasijefanya haya makosa yetu
hahaha! mario nao hiyo ni case tofauti kidogo ila huyu ninayemsema mie ni kwamba haoni tu kama haya yanahaitajika.
yeye huona sawa na hupenda kweli wife wake afanye milele
ha haaaa, unatuma kwa Mpesa, lol!hilo sikatai rafiki ila amini tu kwamba kuna watu ambao hua wanaweza kuwezesha na kuna wengine sio kabisaaa.
tena unakuta mama wa aina hii akisafiri chumvi ikiisha ndani baba atampigia simu chumvi hakuna sasa hapo sijui mama atailetaje na yuko mbali
ha haaaa, unatuma kwa Mpesa, lol!
mume wa hivyo simtaki kabisaaaaaaa........
ngoja nikazane na vidume vyangu visije vikaenda kuwa irresponsible huko, lol!
mwalimu, wengine working hard is like a hobby. kiukweli hata ningeolewa na mfalme wa arabuni, nahisi ningekuwa bored stiff and to the core. hata nipewe kila kitu with a gold spoon to eat from, nadhani i still need some kind of work kuweka hii kichwa sawa.
msimamo wangu ni kuwa kila mtu anahitaji kufanya kazi kama sehemu ya kujamiiana.
uwe na valentine njema.
ahahahahhahahahajamani msinione naingilia maisha ya watu.huwa najiuliza wengine muda wa kazi na wa kuwa jf mnaupata wapi?maana wengine asubuhi mpo jf,si mchana na si usiku.au kazi zenu mabosi wenu wako poa tu kuingia mitandaoni?sina nia mbaya ya kuuliza.najua wapo self employed.nauliza kwa wale wa maofisini,maana hiyo chance mimi sina
jamani msinione naingilia maisha ya watu.huwa najiuliza wengine muda wa kazi na wa kuwa jf mnaupata wapi?maana wengine asubuhi mpo jf,si mchana na si usiku.au kazi zenu mabosi wenu wako poa tu kuingia mitandaoni?sina nia mbaya ya kuuliza.najua wapo self employed.nauliza kwa wale wa maofisini,maana hiyo chance mimi sina
Just out of curiosity.. Mwl gfsonwin hivi mwanaume wa namna hyo nae anajiita mwanaume???
Mwanaume shughuli/kazi! Kaaaaaaaa..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
jamani msinione naingilia maisha ya watu.huwa najiuliza wengine muda wa kazi na wa kuwa jf mnaupata wapi?maana wengine asubuhi mpo jf,si mchana na si usiku.au kazi zenu mabosi wenu wako poa tu kuingia mitandaoni?sina nia mbaya ya kuuliza.najua wapo self employed.nauliza kwa wale wa maofisini,maana hiyo chance mimi sina
hahaah. Hata mimi nilikuwa najiuliza hilo. Mimi niko maternity leave. Mkiniona nimepotea in the future mjue nimerudi kaziniii.
Alifuga kuku wakati Mdingi kazamia nchi za watu! Before and after, mdingi akiwepo majukumu ya dingi hafanyiiiiiii! Hela zake ni mambo yake na kutupa sisi kwa ajili ya kujipoza na extra circula activities.
Achana na Mama yule! Hataki ujinga ujinga! We kazini uende, biashara ufany kutoa hela ndani ndo uwe huna? Ah wapi! Sawa huna sasa hivi, katafute basi, ukija utakuta viporo vya majukumu!
hongera mwaya kichanga hakijambo?? Mm ukinikosa humu ujue niko njian ama natoka job ama naenda job vinginevyo 24/7 nipo live
he he heeee.........kiukweli binafsi napenda sana kumsifia mtu akifanya jambo zuri, na huwez kaumini wifi yanu akifanya jambo zuri huwa nasifia yeye na kumsuta kaka kwamba uchangamke kumtia moyo mkeo tena bila kificho.
sasa inapokuja huku kwingine ndo balaa, yaani sifa zinakwend aambako hazistahili kabisaa.