je hujawahi kuiformat na ukaifanyia partition maana kuna wakati unaformat mashine na unafanya disk partition ile ya partition ya pili hua inajificha sana sana katika kuinstall windows 7 au 8 nijibu hilo kwaza
dah sasa hapo sijui kitu gani kinasumbua tusubiri wtaalam waje na yaonilishawahi kuiformat, na partition zingine zipo zinaonekana