Harbinder Sethi atakaswa na Polisi

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601


Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi kwamba hakabiliwi na makosa yoyote.

kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili zikiwamo za mradi tata wa kufua umeme wo dharura kati yake na serikali.

Kwa mujibu wa barua ya polisi ya Machi 18 mwaka huu, lowerida kwa ummma, Sethi hana rekodi yoyote ya uhalifu, hivyo anapaswa kupewa ush inkiano wa kutekeleza majular mu yake.

Barua ya polisi ime beba Kumb. Na. FB/FP/G4/2026/VOL III/49199 na kichwa cha maneno kisemacho, "Cheti cha Polisi cha lamsafisha (Police Clearance Certifi cate), Sethi hana hatia yoy ote ya matukio ya uhalifu nchini.

"Hii ni kuthibitisha kwamba, uchunguzi wa alama za vidole za Harbinder Singh Sethi, kufuatilia matukio ya jinai, ulifanyika kwa kukusanya alama za vidole vya mhusika ambaye alihusishwa na matukio kadhaa ya jinai. Lakini matokeo yame lauwa tofauti," imeeleza taarifa hiyo, iliyosainiwa na Kamishena Mwandamizi wa Polisi (SACP), J.E. Mabeyo.

Vyanzo vya taarifa vinasema, ofisi ya uchunguzi wa kibailojia iliyopo chini ya Jeshi la Polisi, imedai kuwa hadi loufikia tare he 18 Machi 2026, Sethi hana rekodi yoyote ya jinai.

Cheti hicho, kitadumu hadiSeptemba 18, 2026, kwa ajil ya visa za kusafiria na maombi ya kuweza kukopeshwa na mabenki ya kimataifa.

Wakati jeshi la polisi likim safisha anayejiita mmilikim kampuni za IPTL na PAP kwa maelezo kwamba hana rekodi ya makosa ya jinai, taarifa zinaonyesha kuwa, katikati ya mwaka jana, Sethi alishindwa kuishawishi Mahaka ma Kuu, kufuta makubaliano yake na Mkurugenzi wa Mashi taka (DPP) ya kukiri makosa-Plea Bargain.

Sethi alijifunga katika mkataba na serikali wa kukiri mako sa Juni 2021, uliosababisha kumuwezesha kutoka gerezani Alikuwa akishitakiwa kwenye kesi ya uhujumu uchumi, Na 27/2017

Makubaliano hayo, yalisa aliswa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kutaki wa kulipa ndani ya miezi 12, kiasi cha Sh. 26.9 bilioni

Mpaka sasa, Sethi aliyekuwa akishitakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, ameishia kulipa Sh200 milioni kutoka sehem ya fedha hizo. Barua ya Sethi ya kuomba kufunga mkataba na DPP, Juni 10, 2021 kwa kukiri kosa na kupunguziwa adhabu.

Uamuzi ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Huruma Shaidi Serikali ilimmilikisha Sethi kampuni ya IPTL na baadaye kumsadia dia kukwapua mabilioni ya shilingi yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye akaunti ya Escrow, ndani ya benki kuu (BoT)

Akaunti ya Tegeta Escrow ilifunguliwa mwaka 2004 baada ya serikali kubaini udanganyifu katika gharama za ununuzi wa umeme na mtaji
 
Kama serikali ya CCM haikuwahi kufanikisha mashtaka na hukumu ya kumkuta mtuhumiwa na HATIA mahakamani, basi huyo ni mtu safi KISHERIA.

Sikuwahi kusikia kama DUE PROCESS ilifanyika kikamilifu kwa Singh na wenzake licha ya kuwepo “mahakama ya mafisadi”. Sana sana baadhi ya watuhumiwa kwenye sakata la Tegeta Escrow waliwajibishwa “kisiasa” tu.
 
Mtambo wa finger prints wa jeshi letu la polisi ni defective, hauna uwezo wa kubaini watu wenye criminal records, hata akitokea serial killer akakutwa na hatia, akipimwa finger prints, anajipatia police clearance report kuwa is clean!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…