PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji.
Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mbunge ataleta wataalamu wa mifugo kwa ajili ya kupunguza tatizo la nyani.
Aidha, Sanga ameweka wazi azma yake ya kutatua tatizo la umeme katika Kata ya Kimbiji.