Harambee ya UVCCM yafana, michango yavuka lengo

Ni fedheha sana kwa mtu aliyemtuhumu Mwenyekiti wake aliyeshinda uchaguzi kwa rushwa kukubali kuteuliwa na kuwa katibu wa mapambio chini ya uongozi wa mtoa rushwa kwenye chaguzi.

Na wewe ni miongoni mwa wapambanaji wa ufisadi?
Ben ukweli huu uliokuwa unampa pengine ndio umemfanya alipopewa kuongoza kikosi cha kisasi (wasio julikana) ukapotea bila kutuaga.
Damu yako italipwa tuu siku moja. Na siku hiyo haiko mbali.
 
Makonda bwana .Sasa JF watakusaidia nini na mambo yako haya ? CCM ina wenyewe kwani hakuna mtandao wenu wa kuelezana mambo yenu ?
Mkuu humtendei haki Makonda kabisa.Kwani uliambiwa kuna mambo ya JF na yasiyo ya JF?Huu ni mtandao wa kila mtu.Kama wewe unaona hiyo taarifa haikufai,sisi wana CCM inatufaa.Muwe reasonable jamani.
 
Ni fedheha sana kwa mtu aliyemtuhumu Mwenyekiti wake aliyeshinda uchaguzi kwa rushwa kukubali kuteuliwa na kuwa katibu wa mapambio chini ya uongozi wa mtoa rushwa kwenye chaguzi.

Na wewe ni miongoni mwa wapambanaji wa ufisadi?
huyu jamaa mlikuwa mnajibizana hapa jf ukiwa hujui kuwa mbeleni atakufanya nini
 
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Sadifah Juma Khamis wamefanya fundraising kwa ajili ya kuandaa matembezi ya mshikamano wa miaka 50 ya Mapinduzi.

harambee hiyo ambayo imehudhuriwa na Rais wa Serikali ya Mapinduz ya Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe. Ally Mohamed Shein kama mgeni rasmi akiongozana na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Mhe. Balozi Seif Alli Iddy.

harambee hiyo ambayo ililenga kukusanya kiasi cha milioni mia moja na hamsini kufanikisha shughuli hiyo inayotarajia kuanza tarehe 22 Dec 2013 mkoani Pemba ilifanikiwa sana kwa kuchangisha zaidi ya milioni mia mbili.

jumuiya hiyo imeshukuru wachangiaji ambao ni viongozi wa serikali, makada wa Chama Cha Mapinduzi na baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzan ambao wamevutiwa na wazo la vijana la kuhamasisha mshikamano na Amani., na kwamba wanasikitishwa namatendo yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na wanasiasa hapa nchini vya kubaguana kikanda na kidini.
Kumbe ulikuwaga memba humu??
 
Back
Top Bottom