Harambee ya ujenzi wa kanisa

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
1,570
Reaction score
193
Kanisa moja liliendesha harambee ya ujenzi waumini wakachangia hela ilipohesabiwa ikapatikana laki saba na hamsini elf na mia tano hamsini. Wakati pastor anashukuru kwa matoleo majambazi yakaingia yakaanza kuwasachi waumini ikapatikana milioni kumi na sita..! Majambazi yakampatia pastor kama mchango wao! Je ungekuwa wewe ndo pastor ungeelewaje na ungefanyaje?
 
Wametumwa na Mungu ili kukomesha waumoni ambao hawataki kuchangia kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…