Harambee ya kuwaombea Wanyamwezi wajitambue

Harambee ya kuwaombea Wanyamwezi wajitambue

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Kabila tukufu la wanyamwezi mpaka sasa hawajitambui, wako kwenye giza, tena giza totolo kwa sababu wanafanya mambo ya ajabu kabisa kuwahi kuonana kwenye uso wa dunia.

Wanyamwezi wa Tabora wamewahi kufanya maajabu yafuatayo:-

1. Waliwahi kumpa Waziri Mkuu aliyejihudhuru kwa tuhuma za ufisadi Edward Lowassa heshima ya Mtemi wa Unyanyembe Issike Mwanakiyungi, hii ni ajabu kwa sababu Waziri huyo hastahili heshima hiyo kwa sababu anafanya mambo kinyume na msimamo wa Mtemi huyo kwa sababu Mtemi huyo na wenzake akina Mkwawa, Milambo, Chabuluma wa wangoni walikuwa wanapinga ufisadi wa wakoloni walipigana hadi kufa kwa kupinga ufisadi huo wa kikoloni, leo eti Wanyamwezi wanakwenda kumpa heshima ya utemi fisadi kama siyo uenda wazimu ni nini?

2. Wanyamwezi ni wengi wake kwa waume cha kumpa Ubunge Msomali ni kipi? Wanyamwezi wamemchagua Msomali Aden Rage awe ndiye Mbunge wao licha ya kuwepo Wanyamwezi wengi tu wasomi , W wengine wakajitetea eti hawana ubaguzi, swine hebu Mnyamwezi aende kupiga hodi nyumba ya msomali kutaka kuowa kama hajafukuzwa kwa bunduki.

Maajabu hayo mawili ndiyo yaliyotia fora japokuwa yako mengine kama kubeba meno ya tembo toka Tabora kwa mguu hadi Bagamoyo

Tunatangaza harambee ya kuwaombea wanyamwezi wajitambue mwaka huu wa uchaguzi wasirudie makosa haya mkuu kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Wakijitambua sisi watu wa Dodoma kuliko na mjengo tutawafanyia yafuatayo:-

1. Wakichagua Mbunge Mnyamwezi kamili siyo chotala Mnyamwezi kwa maana baba na mama wote wanyamwezi siku ya kuja Dodoma mjengoni kuapishwa aje na treni apande daraja la kwanza akifika stesheni ya Kintinku tutampokea kwa maandamano mpaka Dodoma, tutajipanga kando ya leli tukimpungia mkono hadi afike Dodoma ili mradi awe dirisha la kaskazini.

2. Atapata heshima ya kukaa Ikulu ya Chamwino, tutampangishia nyumba nzima Chamwino Ikulu na usafiri wa bure kuja Dodoma kuhudhuria vikao vya bunge . Hamna mbunge aliyewahi kupata heshima hiyo.

3. Atapewa nishani ya Mtemi Mazengo daraja la kwanza, hiyo ni heshima ya juu kabisa kupewa mtu toka kwenye kabila la wagogo.

Sisi hapa Dodoma tunamchukia sana mbunge wenu Aden Rage kwa sababu akiwa ni mwajiliwa wa CDA miaka ya themanini alitufanya kitu mbaya , alituhanithi kweli kweki hadi Mzee Nyerere alichukia akamfukuza kazi , ni nyie wanyamwezi mumturudishia nuksi hii hapa Dodoma.
 
Ngoja nimtafute ndugu yangu Sikonge ili tukujibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom